TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Mtu akisema uumlipe au umfate PM ili akusaidie bc huyo n mwizi tuu.

Kama una shida yoyote andika hapa na kuna watu tupo tayari saa 24 kuwasaidia kwenye jambo lolote hapo.
Mkuu account yangu ipo inactive nafanyaje msaada please
 
Naona mmeanza kunielewa , magufuri alikuwa ni rais wa hovyoo Toka nchi imepata uhuru, alikuwa Na roho mbaya, aliwachukia wasomi, aliwachukia matajiri, nataka nikupe Siri moja ambayo unaweza usiikubali,.......haya mambo ya connection hasa kwenye ajira yalizidi sana hasa kipindi cha magufuri..ulikuwa huwezi kupata ajira mpaka uwe kada wa chama cha ccm , ulikuwa huwezi kupata ajira kama wewe sio msukuma au mtu wa kanda ya ziwa, ulikuwa huwezi kupata ajira mfano za Tamisemi kama huna mtu wa kukushika mkono ni wachache sana waliopata ajira za Tamisemi kwa uwezo wao. Hili la Ajira la Tamisemi kuwa recruited Na utumishi ni moja wapo ya sababu ya kupunguza mambo ya connection Mimi ni moja ya watu tuliomuandikia barua ya malalamiko kwa mheshimiwa waziri Mohammed mchengerwa, tulilalamika sana tena kwa uchungu...ndio maana unaona ajira zimehamishiwa kule😎😎
 
Ni sahihi kabisa,wenye wajomba zao Tamisemi wamechukia sana kupelekwa utumishi huu mchakato
 
Ok sawa. Waambie na hili la ku certify vyeti wakiangalie au kulitupilia mbali
 
Aise kama ni hivi itabidi niite press conference niwasilishe malalamiko yangu. Najua vijana saa hizi wamepofuka haya ya ku certify vyeti hawajali wapo radhi kukopa pesa wapate Hela ya kumlipa wakili/mwanasheria. Wakikosa ajira hapo mbeleni ndo watakumbuka hizo elfu kumi kumi zao. Afu mwakani mfumo mwingine na utaratibu mwingine utakuja na hivyo vyeti vilivyo certified havitakuwa na maana Tena.
Ndio mkuu mm n mwanasheria na nataka hy 10k yao ya ku certify vyeti vyako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…