FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kaweka link mstari wa mwisho kabisa.Source ni gan mbona kwa page zao halipo tangazo na kwa website? Au ww n generation Z?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaweka link mstari wa mwisho kabisa.Source ni gan mbona kwa page zao halipo tangazo na kwa website? Au ww n generation Z?
Mkuu account yangu ipo inactive nafanyaje msaada pleaseMtu akisema uumlipe au umfate PM ili akusaidie bc huyo n mwizi tuu.
Kama una shida yoyote andika hapa na kuna watu tupo tayari saa 24 kuwasaidia kwenye jambo lolote hapo.
Mkuu account yangu ipo inactive nafanyaje msaada pleaseKaweka link mstari wa mwisho kabisa.
Sina njia ya kukusaoidia, hata kukuelewa unamaanisha nini sijakuelewa.Mkuu account yangu ipo inactive nafanyaje msaada please
Unaniuliza hv kama mm ndio nimeweka huo utaratibu au unaniuliza hvy mm kama nani?Nataka useme umuhimu na ulazima wa kufanya hivyo.
Kwamba huja-update na nida yako au Umesahau password? Mana cjaelewa em fanya screenshotMkuu account yangu ipo inactive nafanyaje msaada please
Ingia kwenye email yako utakuta wamekutumia link ya Ku activate accountMkuu account yangu ipo inactive nafanyaje msaada please
Vyote nimecheki Diploma ya famasi na category sawaAngalia kwenye programu category. Pia angalia kama diploma uliyonayo inaendana na diploma wanayoitaka yn isitofautiane ht kdg
Hapana, kwa Kikwete sikubaliani na wewe.
Kikwete alitoa kila baada ya watu kuhitimu chuo ualimu na Afya kuanzia ngazi ya cheti hadi Degree.
Watu waliohitimu mwaka 2014, walipata bila kikwazo ila waliohitimu mwaka 2015 ambapo muda mfupi Mwendazake akashika Dola ndio walianza kukiona cha mtema kuni.
Ni sahihi kabisa,wenye wajomba zao Tamisemi wamechukia sana kupelekwa utumishi huu mchakatoNaona mmeanza kunielewa , magufuri alikuwa ni rais wa hovyoo Toka nchi imepata uhuru, alikuwa Na roho mbaya, aliwachukia wasomi, aliwachukia matajiri, nataka nikupe Siri moja ambayo unaweza usiikubali,.......haya mambo ya connection hasa kwenye ajira yalizidi sana hasa kipindi cha magufuri..ulikuwa huwezi kupata ajira mpaka uwe kada wa chama cha ccm , ulikuwa huwezi kupata ajira kama wewe sio msukuma au mtu wa kanda ya ziwa, ulikuwa huwezi kupata ajira mfano za Tamisemi kama huna mtu wa kukushika mkono ni wachache sana waliopata ajira za Tamisemi kwa uwezo wao. Hili la Ajira la Tamisemi kuwa recruited Na utumishi ni moja wapo ya sababu ya kupunguza mambo ya connection Mimi ni moja ya watu tuliomuandikia barua ya malalamiko kwa mheshimiwa waziri Mohammed mchengerwa, tulilalamika sana tena kwa uchungu...ndio maana unaona ajira zimehamishiwa kule😎😎
Kama msemaji wao maana unawajibia Kila kinachoulizwa kuhusu ku certify vyeti. Au mkuu ni wakili au mwanasheria ambao muda wenu wa mavuno umefika??Unaniuliza hv kama mm ndio nimeweka huo utaratibu au unaniuliza hvy mm kama nani?
Ok sawa. Waambie na hili la ku certify vyeti wakiangalie au kulitupilia mbaliNaona mmeanza kunielewa , magufuri alikuwa ni rais wa hovyoo Toka nchi imepata uhuru, alikuwa Na roho mbaya, aliwachukia wasomi, aliwachukia matajiri, nataka nikupe Siri moja ambayo unaweza usiikubali,.......haya mambo ya connection hasa kwenye ajira yalizidi sana hasa kipindi cha magufuri..ulikuwa huwezi kupata ajira mpaka uwe kada wa chama cha ccm , ulikuwa huwezi kupata ajira kama wewe sio msukuma au mtu wa kanda ya ziwa, ulikuwa huwezi kupata ajira mfano za Tamisemi kama huna mtu wa kukushika mkono ni wachache sana waliopata ajira za Tamisemi kwa uwezo wao. Hili la Ajira la Tamisemi kuwa recruited Na utumishi ni moja wapo ya sababu ya kupunguza mambo ya connection Mimi ni moja ya watu tuliomuandikia barua ya malalamiko kwa mheshimiwa waziri Mohammed mchengerwa, tulilalamika sana tena kwa uchungu...ndio maana unaona ajira zimehamishiwa kule😎😎
Ingia kwenye email Yako uliyofungulia account tafuta text ya utumishi click hiyo itakuawa active account yakoMkuu account yangu ipo inactive nafanyaje msaada please
Ndio mkuu mm n mwanasheria na nataka hy 10k yao ya ku certify vyeti vyakoKama msemaji wao maana unawajibia Kila kinachoulizwa kuhusu ku certify vyeti. Au mkuu ni wakili au mwanasheria ambao muda wenu wa mavuno umefika??
Ndio mkuu mm n mwanasheria na nataka hy 10k yao ya ku certify vyeti vyako
Interview ndo mfumo wa haki hayo mambo ya kupeana kazi bila utaratibu yanaumiza wasio na connection
Poleni sanaHivi sisi tuliosomea masuala ya midwiferly hatujakumbukwa kozi ya kutuma