TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Samahani Kwa wale wabobevu na huu mfumo wa ajira portal nisaidieni swali hili

Cheti cha kuzaliwa kilichokuwa verified na RITA na kina muhuri wa administrator kuwa ni true copy

Kinatakiwa kipigwe tena muhuri kucertify?? na wakili/hakimu

Natanguliza shukrani
beba copy na OG fika kwa Adv. atie muhuri copy...mpe chake mmalizane
 
Ndugu zangu mliofanikiwa kuomba mnaweza tupa muongozo.

Kwenye tangazo Kuna hizi post za tabibu daraja la 11.
zinaonesha zinaitaji watu wa stashahada, lakini kwenye mfumo sizioni naona za shahada TU Kuna aliyefanikiwa atupe muongozo
 
Attachments

  • Screenshot_20240709-182254.jpg
    Screenshot_20240709-182254.jpg
    161.3 KB · Views: 15
Hivi ndivyo watanzania tunavyotafutiana ulaji. Wakili/mwanasheria anaenda kupiga pesa mno. Kama huna elfu 5000/10000 katika Kila cheti, aise mtanzania mwenzangu jobless huombi hizi nafasi za kazi. Hivi hiki kipengele Cha kuwatafutia ulaji mwakili na wanasheria wetu hakiwezi kuondolewa?
Kwa hio unataka wao wale wape?
Lazima tupeane madeal, kutengeneza mzunguko wa fedha
 
Wazoefu wa ajira portal naombeni msaada. kipindi cha nyuma nilifunguaga account na kwenye academic qualifications nika upload vyeti ambavyo sio certified na wakili. Nilifanya hivyo mara mbili na vyote vinaonekana kwenye mfumo. Changamoto ni saiv ambapo nataka ku upload certified certificate lakini zimegoma. nimejaribu ku add upya lakini sijafanikiwa pia. naomba msaada mwenye kujua utatuzi wa Changamoto yangu.
 
Edit hapo mzee.
 
Kama una uhakika umeweka hvy ambavyo n certified bc tulia Baada ya muda utavikuta vipo, ht ukibadili picha hua unaona imebaki ile ile ila baada ya muda unakuta imekaa ile mpya, n system hua inachelewa.
 
Back
Top Bottom