TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Nimerudi kumchana mwanzo niliumia nkagundua nafeli big time
Mwana anafeli sana
Nmekushangaa sana mkuu, yn unakatishwa tamaa kizembe hvy na ww unaingia kwenye line yake.
unazingua Aisee, mwanaume hutakiw kuwa hvy.
 
Anazingua anajikuta utumishi sana

Nimemstahi now nimeshindwa acha mfumo uamue wenyewe

Hizi application ni kama race ambayo kila mtu ana njia yake

Trust me kuna watu watakuja na shuhuda kwenye huu uzi kuwa hawakujitolea popote na still Mwenyez Mungu akawasaidia wakavuka.

Na watakuja hap watu kutoa shuhuda kuwa waliweka hzo recommendation letter na bado wakalamba jokeli.

Maisha huwa na siri nzito mnoo...
Apitie na hii aache kukatisha watu tamaa itamsaidia zaidi
 
Attachments

Nimemfanyia rafiki yangu Application leo.

Tulijadili na jamaa yangu achague mikoa 5 then aombe hiyo mikoa.

Ila nilipoanza kuomba mkoa wa kwanza, nilipomaliza, zikaandika kwa pamoja kwenye nafasi zote mikoa yote kuwa ALREADY APPLIED then jina la Mwajiri likajitokeza ni MDAs and LGAs kule kwenye MY APPLICATIONS.

Kwa hiyo utakapoomba mara moja ndio imeisha hiyo, itabaki sasa utakapoitwa kwenye Interview na ukatusua, utaweza kupangiwa mkoa wowote au mkoa ulioomba wakati wa ApplicationView attachment 3036746
Mkuu. Jina la mwajiri kwenye barua uliandikaje ?
 
MDAs and LGAs (mkoa husika ingawa sidhani kama necessary).

Baada ya kusubmit maneno hayo ndio yalitokea, nikarudi kuedit barua halafu nikaattach tena
 
Sio necessary kwa kuwa unamuomba katibu mkuu wa psrs
Ni kweli unamuomba Katibu lakini, unamuomba nafasi ipi na wapi..

Ipi - Teacher grade IIIC
Wapi - MDAs and LGAs
Unamuomba nani, hapa ndio yupo mtu kati/Wakala ambaye ni PSRS(Katibu)
 
MDAs and LGAs (mkoa husika ingawa sidhani kama necessary).

Baada ya kusubmit maneno hayo ndio yalitokea, nikarudi kuedit barua halafu nikaattach tena
Ila nimecheki kwenye tangazo nimeona ni kama neno LGAs tu ndio linapaswa kuwepo. Sababu muajiri ni local governments tu hivyo MDAs nafikiri halitakiwi kuwepo.

Au unashaurije niandike yote: MDAs and LGAs
 
Andika LGAs tu
 
Hongera uko makini na Tangazo
Napendekeza uje wilayani kwangu buhigwe huku uje uwanoe vijana wetu huku bilashaka utakua mwalimu mzuri😀
 
Ni kweli unamuomba Katibu lakini, unamuomba nafasi ipi na wapi..

Ipi - Teacher grade IIIC
Wapi - MDAs and LGAs
Unamuomba nani, hapa ndio yupo mtu kati/Wakala ambaye ni PSRS(Katibu)
Kiongozi msaada kidogo tafadhali...

Kuna dogo hapa alikosea siku za nyuma aka-attach cheti ambacho hakijawa certified kwenye portal Cha chuo ......sasa Leo nataka kuattach nakuta alishaweka kile ambacho hakijawa certified .....tunatokaje hapo mkuu? Ili tuweze kuweka hiki stahiki Msaada.
 
Kuna option ya edit kwenye hicho cheti hapo
 
Kiongozi msaada kidogo tafadhali...

Kuna dogo hapa alikosea siku za nyuma aka-attach cheti ambacho hakijawa certified kwenye portal Cha chuo ......sasa Leo nataka kuattach nakuta alishaweka kile ambacho hakijawa certified .....tunatokaje hapo mkuu? Ili tuweze kuweka hiki stahiki Msaada.
Nenda kwenye iyo sehemu, alafu nenda edit, then attach icho kipya alafusave kitakuwa tayari kishabadilika
 
Nimejaribu hivyo kwa simu yangu ....naona bado niki-log out then nika log in....nakuta nakiona kile Cha zaman bado......au nikajaribie kwenye computer ?
 
Kwa hiyo ndugu zangu, kutakua na mbungi kidogo.
8d946c1f-64ec-47e9-9917-579e68649a18.jpeg
 
Back
Top Bottom