TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Kwa

ni Kila somo Lina mtihani au walimu wote wanafanya paper moja
Kijana,hiyo kitu ya walimu wote kufanya mtihani mmoja unaofanana haiwezekani kabisa!
Yaani mwalimu wa PHYSICS mwenye diploma grade IIIB apewe mtihani sawa na mwalimu wa PHYSICS mwenye shahada grade IIIC?Nimetolea mfano huu kwa kuwa hivi karibuni kuna walimu waliosoma diploma za masomo ya sayansi baada ya kumaliza tu kidato cha nne.

Lakini pia haiwezekani mwalimu wa PHYSICS apewe mtihani sawa na mwalimu wa kiswahili japokuwa maswali ya kada husika kama vile pedagogical skills yanaweza kufanana.
 
Kwa nini isiwezekane kwani pale unafikiri watakuuliza maswali ya somo lako pale, pale utaulizwa teaching methodologies na education psychology pamoja na communication skills hivyo vitu nadhan walimu wote wamevisoma walimu wenyewe wanajua.
 
Kwa logic ya kawaida tuu haiwezekanii,Wala huhitajii kuwa na D mbili ili uweze kujua hilo Sasa nashangaa ww unabishaa kitu ganii hapo sasa
 
Kwa nini isiwezekane kwani pale unafikiri watakuuliza maswali ya somo lako pale, pale utaulizwa teaching methodologies na education psychology pamoja na communication skills hivyo vitu nadhan walimu wote wamevisoma walimu wenyewe wanajua.
Kwa hiyo mwalimu wa cheti apewe mtihani wa mwalimu wa shahada kisa wote walimu na wanaulizwa teaching methodologies? Halafu kuulizwa maswali ya somo utakalofundisha kwa wale wa shahada ni lazima haiepukiki kwa kuwa wanaajiriwa kufundisha somo husika mfano Geography au English language. Ni tofauti na diploma au cheti ambao wanaajiriwa wakafundishe masomo yote ya shule ya msingi.

Hii ndiyo ilikuwa inapelekea TAMISEMI kumpangia mwalimu wa kiswahili kwenda kufundisha physics wakati hajasoma physics na katika kutafuta ufumbuzi wa changamoto kama hizi serikali imeona itumie utaratibu huu wa haki na uwazi. Shule inahitaji mwalimu wa Mathematics halafu anapelekwa mwalimu wa kiswahili kisa kwenye mfumo aliomba Mathematics, kw hiyo sasa hivi hiyo Mathematics kaioneshe huko kwenye usaili.

Kifupi kama wewe ni mwalimu wa shahada au diploma(wanaosoma diploma ya ualimu wa sekondar) na uliomba nafasi kwa somo jiandae kwa kusoma hizo pedagogical skills na pia kwenye somo lako. Na kama wewe ni mwalimu wa cheti au diploma jiandae kwa kusoma pedagogical skills na basics za shule ya msingi.
 
Pengine ni kweli,kwahy interview itakuwa ni kufundisha darasani kwenye SoMo husika?
 
Haiwezi kua sawa kwani mwalimu ngazi ya cheti yeye ni mwalimu wa primary na hao wengine ni secondary hata psychology ya wanafunzi ni tofaut pia njia za kufundishia tofauti
 
Kila kitu kina muda wake sisi tunapanga Mungu naye anapanga yake
 
Kijana,hiyo kitu ya walimu wote kufanya mtihani mmoja unaofanana haiwezekani kabisa!
Yaani mwalimu wa PHYSICS mwenye diploma grade IIIB apewe mtihani sawa na mwalimu wa PHYSICS mwenye shahada grade IIIC?Nimetolea mfano huu kwa kuwa hivi karibuni kuna walimu waliosoma diploma za masomo ya sayansi baada ya kumaliza tu kidato cha nne.

Lakini pia haiwezekani mwalimu wa PHYSICS apewe mtihani sawa na mwalimu wa kiswahili japokuwa maswali ya kada husika kama vile pedagogical skills yanaweza kufanana.
Zoezi basi litakuwa left sana
 
Wakuu msaada nataka nichukue namba yangu ya mtihani kwenye akaunti ya ajira portal kwa bahati mbaya nakuta mfumo haufunguki kabisa ase
 
Usijali nambayako utaikuta chumba cha mtihani wakati wa usahili. Zaid Sanaa andaa tuu vyeti vya taaluma na kitamburisho (cha mpiga Kura, NIDA au passport)
 
Kimeumana huko medical laboratory technology....
Mtupe feedback vizur ,kimetokea Nini
 
Medical lab ubaya umefanyika

Mtihani wameleta wa maabara za viwandani badala ya maabara za hospitali

Tumeletewa mambo za vernial calliper, amiter, density, surface tension na volumetric analysis mambo za titration

sasa sijajua ndio utumishi huwa wako hvo au wamejichanganya kwetu maana kada zingine huwa wanapewa maswali yanayohusu kada yao husika too sad
 
Dah poleni Sana vijana ......
Wizara ya Afya Tanzania msaada kwa vijana muwasaidie....
 
Back
Top Bottom