TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Naombeni kuuliza wakuu, kama mtu ana GPA ya 2.8, je anaweza pita kwenye usahili wa Oral hadi kupangiwa kituo cha kazi. Maana najiuliza kwenye ile pannel ya interview huwa wana angalia GPA ndio waseme final say. Licha ya kwamba umejibu maswali yao vizuri.?
Mkuu GPA nazani ni factor ya mwisho sanaa tena ni endapo itatokea mmefungamana kweny usaili wa oral, otherwise sizani kuna sehem yeyote inaweza kukukosesha asali, sijui kama umenielewa ?
 
Afya almost kila siku wanatoa majina ya wanoitwa kazini, nahisi mpka sasa imebaki mikoa mi 2 tu.
 
Back
Top Bottom