LINGWAMBA
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 484
- 1,214
Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza!
Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba nayo unalipia unakaa wiki nzima leseni hawatoi!
Inabidi na hizi wizara nyingne nazo tutafute muwekezaji kama tulivyofanya bandarini.