Serikali iingilie manyanyaso haya Wilaya ya Uyui.
1. Wilaya ambayo watumishi wake hawajalipwa pesa zao za likizo. Ikumbukwe likizo hiyo watumishi hizo hiyo walioomba tangu mwezi wa 12. Imekuwa ni mizunguko mwanzo mwisho na mpaka sasa pesa hawajalipwa, imefikia hatua ya matisho kutoka kwa viongozi wa wilayani kwa mba watakaoendelea kudai watafukuzwa kazi. Malalamiko yameshapelekwa kwa viongozi wa CWT lakini mpaka sasa kimya. Mwanzoni walipanga kuandamana mpaka sasa viongozi wanapanga kuwakakamata viongozi wa mgomo. Tunaomba serikali (Tamisemi na wizara ya elimu) waingilie kati vinginevyo hizi pesa zitaliwa na mchwa waliopo hapo.
2.Swala la madai ya mishahara katika wilaya hii hawawajibiki kuna siku waliita wafanyakazi kwnenda kuhakiki madao yao ilikuwa nia aibu maafisa utumishi waliokuwepo walikula fedha za watumishi waliopo.Kwani mtumishi alikuwa anadai mishaara mitatu anaambiwa mishaara miwili ilikuja na ikarudishwa hazina.Ukisema sikuipata wanakwambia hiyo uwezi kuipata kwenye mfumo inaonyesha ulilipwa.Lakini mishara hara hiyo kwenye akaunti haikuingia kwahiyo afisa utumishi aliekuepo akishirikiana nawaliokuwepo waliibia watumishi wengi.
3. Dharau zilizopitiliza watumishi wengi walioko wilaya ya uyui wanawadharau watumishi wanaowahudumia.pale unaweza kufika unashida ukaudumiwa baada ya masaaa 5 sita kazi kupiga stori za umbea na majungu.Kuna ka afisa kamoja kauhasibu kalikuwa kanawaambia watumishi waliokwenda kudai mapunjo yao ya mishaahra " anawauliza nani aliowaita nyinyi" sasa mtu katoka mpyagula huko anafika halmashauri anakatwisha tamaaa na wanaomhudumia.Serikalo iingilie kati manyanyaso shule za sekondari na msingi.
4. Serikali ilitoa maagizo Muongozo shule zinapofungwa watoto wakawasaidie wazazi kazi, Pia wajifunze stadi mbali mbali za maisha wakati wakiwa nyumbani. Lakini kwa Uyui hali ni tofauti kwani hawatofunga shule na wamepanga kufanya mitihani wakati wa likizo na waalomu wote wawepo haijalishai kama kama kuna likizo, Wakiuliza wanaambiwa ni Maagizo kutoka kwa maafisa elimu mkoa na wailaya ndo wameagiza hiyo mitihani kufanyika wakati wa likizo.Mtumishi anayefanya kazi wilaya ya Uyui ni punda anafanya kazi muda wote bila kupumzika.
Tunaomba serikali itoe muongozo kama likizo hakuna watu wajipange kwa wilaya ya Uyui pia itusaidie kupata stahiki zetu kwa wakati sambamba nahilo kufanya reshuffle kwa watendaji wabaya waliopo halimsahuri wanaigombanisha na serikali.Serikali Ihamishe wafanyakazi wa wilaya hii wanafanya kazi kwa mazoea