Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Nyeti hii imepenyezwa kutoka UDOM. Wanafunzi Wanaosoma education wameambiwa wajitolee kufundisha bila malipo kwa muda wote wa likizo Hii fupi itakayoanza rasmi mwezi March. Wameahidiwa kupewa vyeti na Tamisemi endapo watatekeleza zoezi hilo.
My note:
Serikali inatambua uwepo wa uhaba wa walimu. Kwa nini sasa isiajili wakati jemedari mkuu anatamba kila kukicha kuwa hazina kuna mafungu ya kutosha?
Je, hivyo vyeti vitakuwa na impact gani kwa hao vijana?
Serikali iache ubabaishaji, mtaani kuna walimu waliohitimu mafunzo tangu mwaka 2015. Badala ya ubabaishaji wa Aina hii ni vyema ikawaajili hao Vijana.