Wamejenga zahanati kibao kila wilaya kila mkoa ila hakuna vifaa hakuna watumishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujenzi ni fani yetu...
Ujenzi ni asili yetu...
Hayo mengine yatakuja taratibu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamejenga zahanati kibao kila wilaya kila mkoa ila hakuna vifaa hakuna watumishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vizuri
Itawasaidia kujijenga na kupata kazi mbeleni kwa kuwa na cha kuongezea kwa CV zao.
Hivi ndugu unaamini woote waliovyuoni kwasasa na waliomaliza Serikali inaweza kuwaajiri? Dkt. Kikwete aliweza kufanya hivyo wakati ule kwakuwa nafasi zilikuwa bado zipo na uwezo wa kuwalipa ulikuwepo. Kwasasa wanalipwa walioajiriwa na Kikwete na bado Serikali inaajiri ila sio kwa kiwango kikubwa.Sijui Jakaya Kikwete alikuwa anatoa wapi hela za kuajiri kila Mwaka. Nakumbuka aliwahi kuajiri hadi wale walimu wakuitwa Voda fasta. Huyu wa Sasa ameacha kitaani batch za walimu kuanzia graduate wa 2014/2015 hadi wa sasa.
Tunakoenda ni giza kwa kweli.
Acha upotoshaji. Awamu hii imeajiri watumishi wa afya kwa kiasi kikubwa sana. Kuanzia madaktari hadi manesi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Wakati ule ilikuwa fani za Ualimu na Afya ni uhakika kupata ajira. Lakini awamu hii ya tano hawajali kuhusu ajira, kwa kuwa sio watoto zao wanaotaabika.
Kwa kweli "we real miss Jakaya Kikwete"
Nahisi harufu ya ongezeko la mimba mashuleni. Watu watajilipa wenyewe. Yangu macho tu.Nyeti hii imepenyezwa kutoka UDOM. Wanafunzi Wanaosoma education wameambiwa wajitolee kufundisha bila malipo kwa muda wote wa likizo Hii fupi itakayoanza rasmi mwezi March. Wameahidiwa kupewa vyeti na Tamisemi endapo watatekeleza zoezi hilo.
My note:
Serikali inatambua uwepo wa uhaba wa walimu. Kwa nini sasa isiajili wakati jemedari mkuu anatamba kila kukicha kuwa hazina kuna mafungu ya kutosha?
Je, hivyo vyeti vitakuwa na impact gani kwa hao vijana?
Serikali iache ubabaishaji, mtaani kuna walimu waliohitimu mafunzo tangu mwaka 2015. Badala ya ubabaishaji wa Aina hii ni vyema ikawaajili hao Vijana.
Katika eneo ambalo serikali yangu inaniumiza kwa kuichukulia kimzaha mzaha mbali na Sekta ya Madini, ni elimu!
Kuna siku lazima mtu akiri kwa kinywa chake kwamba tumeboronga sana katika sekta hizo mbili na kwamba anachukua harua kali za kimakusudi ikuimarisha sekta tajwa.
Kila kitu huwa ni bajeti mkuu.Nyeti hii imepenyezwa kutoka UDOM. Wanafunzi Wanaosoma education wameambiwa wajitolee kufundisha bila malipo kwa muda wote wa likizo Hii fupi itakayoanza rasmi mwezi March. Wameahidiwa kupewa vyeti na Tamisemi endapo watatekeleza zoezi hilo.
My note:
Serikali inatambua uwepo wa uhaba wa walimu. Kwa nini sasa isiajili wakati jemedari mkuu anatamba kila kukicha kuwa hazina kuna mafungu ya kutosha?
Je, hivyo vyeti vitakuwa na impact gani kwa hao vijana?
Serikali iache ubabaishaji, mtaani kuna walimu waliohitimu mafunzo tangu mwaka 2015. Badala ya ubabaishaji wa Aina hii ni vyema ikawaajili hao Vijana.
Mambo mengine tunawasingizia tu hawa wawakilishi wetu!Kwa wabunge wa CCM kila kitu safiii. Wakiwa bungeni adui yao ni CHADEMA tu hata kama nchi inaangamia kwa upuuzi wa kupitisha kwa 100 percent Sera hovyoo za chama chao.
Mkuu anaweza akawa mhasibu though hakusomea uhasibu? Au una maanisha kuna ukosefu wa wafanyakaz halmashauri.Walimu wengi wameacha chaki na kujipachika vitengo kama uhasibu, uanasheria wa Halmashauri, Maafisa utumishi nk. Aliyeasisi na kubariki mtindo huo anajua anafaidika nini kuajiri walimu lakini baada ya muda mfupi kuwabadilishia fani huku wakiendelea kutumia utambulisho wa Ualimu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakubali uwezo wa kuwalipa hakuna..Hivi ndugu unaamini woote waliovyuoni kwasasa na waliomaliza Serikali inaweza kuwaajiri? Dkt. Kikwete aliweza kufanya hivyo wakati ule kwakuwa nafasi zilikuwa bado zipo na uwezo wa kuwalipa ulikuwepo. Kwasasa wanalipwa walioajiriwa na Kikwete na bado Serikali inaajiri ila sio kwa kiwango kikubwa.
Kaajiriwa akiwa mwalimu, anaomba kwenda kusoma uhasibu anaruhusiwa. Akirudi anahamishiwa uhasibu.Mkuu anaweza akawa mhasibu though hakusomea uhasibu? Au una maanisha kuna ukosefu wa wafanyakaz halmashauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo n sawa tu na kujiendeleza.Kaajiriwa akiwa mwalimu, anaomba kwenda kusoma uhasibu anaruhusiwa. Akirudi anahamishiwa uhasibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Bwana.Mkuu hiyo n sawa tu na kujiendeleza.
Bilashaka waliona ualimu hauna maslahi mapana maishan mwao....
Huku n kukosa wito.
Walimu weng hawaupend ualimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka kuwa hapo kuna vyeti feki waliondolewa pia, mbona mwenzake aliweza kuajiri kila mwakaHivi ndugu unaamini woote waliovyuoni kwasasa na waliomaliza Serikali inaweza kuwaajiri? Dkt. Kikwete aliweza kufanya hivyo wakati ule kwakuwa nafasi zilikuwa bado zipo na uwezo wa kuwalipa ulikuwepo. Kwasasa wanalipwa walioajiriwa na Kikwete na bado Serikali inaajiri ila sio kwa kiwango kikubwa.
Mwenye pesa huwa hajitangaziNyeti hii imepenyezwa kutoka UDOM. Wanafunzi Wanaosoma education wameambiwa wajitolee kufundisha bila malipo kwa muda wote wa likizo Hii fupi itakayoanza rasmi mwezi March. Wameahidiwa kupewa vyeti na Tamisemi endapo watatekeleza zoezi hilo.
My note:
Serikali inatambua uwepo wa uhaba wa walimu. Kwa nini sasa isiajili wakati jemedari mkuu anatamba kila kukicha kuwa hazina kuna mafungu ya kutosha?
Je, hivyo vyeti vitakuwa na impact gani kwa hao vijana?
Serikali iache ubabaishaji, mtaani kuna walimu waliohitimu mafunzo tangu mwaka 2015. Badala ya ubabaishaji wa Aina hii ni vyema ikawaajili hao Vijana.
Nyeti hii imepenyezwa kutoka UDOM. Wanafunzi Wanaosoma education wameambiwa wajitolee kufundisha bila malipo kwa muda wote wa likizo Hii fupi itakayoanza rasmi mwezi March. Wameahidiwa kupewa vyeti na Tamisemi endapo watatekeleza zoezi hilo.
My note:
Serikali inatambua uwepo wa uhaba wa walimu. Kwa nini sasa isiajili wakati jemedari mkuu anatamba kila kukicha kuwa hazina kuna mafungu ya kutosha?
Je, hivyo vyeti vitakuwa na impact gani kwa hao vijana?
Serikali iache ubabaishaji, mtaani kuna walimu waliohitimu mafunzo tangu mwaka 2015. Badala ya ubabaishaji wa Aina hii ni vyema ikawaajili hao Vijana.
Uliona ile interview ya nafasi za afya jeshini pale Lugalo watu walivyojaa??Acha upotoshaji. Awamu hii imeajiri watumishi wa afya kwa kiasi kikubwa sana. Kuanzia madaktari hadi manesi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.