Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Kwahiyo wakiondoka kurudi chuoni wanafunzi watabaki na nani?......Mimi ningeshauri serikali kama hawana pesa, waalimu wapo wengi mtaani, itangaze volunteers wakujitolea kwakuwalipa subsistance tu bila ajira ya kudumu na pia iwahidi kuwajili ikipata pesa . Mbona watajitokeza wengiNyeti hii imepenyezwa kutoka UDOM. Wanafunzi Wanaosoma education wameambiwa wajitolee kufundisha bila malipo kwa muda wote wa likizo Hii fupi itakayoanza rasmi mwezi March. Wameahidiwa kupewa vyeti na Tamisemi endapo watatekeleza zoezi hilo.
My note:
Serikali inatambua uwepo wa uhaba wa walimu. Kwa nini sasa isiajili wakati jemedari mkuu anatamba kila kukicha kuwa hazina kuna mafungu ya kutosha?
Je, hivyo vyeti vitakuwa na impact gani kwa hao vijana?
Serikali iache ubabaishaji, mtaani kuna walimu waliohitimu mafunzo tangu mwaka 2015. Badala ya ubabaishaji wa Aina hii ni vyema ikawaajili hao Vijana.
Enzi hizo hadi wenye sup walikuwa wanaajiriwa, kwakweli ilikuwa raha sanaSijui Jakaya Kikwete alikuwa anatoa wapi hela za kuajiri kila Mwaka. Nakumbuka aliwahi kuajiri hadi wale walimu wakuitwa Voda fasta. Huyu wa Sasa ameacha kitaani batch za walimu kuanzia graduate wa 2014/2015 hadi wa sasa.
Tunakoenda ni giza kwa kweli.
Wakati ule ilikuwa fani za Ualimu na Afya ni uhakika kupata ajira. Lakini awamu hii ya tano hawajali kuhusu ajira, kwa kuwa sio watoto zao wanaotaabika.Enzi hizo hadi wenye sup walikuwa wanaajiriwa, kwakweli ilikuwa raha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ungejitolea kufanya usafi wa kwenye mitaro utakuwa mzalendo kweliNi vizuri
Itawasaidia kujijenga na kupata kazi mbeleni kwa kuwa na cha kuongezea kwa CV zao.
Na wewe ungejitolea kufanya usafi wa kwenye mitaro utakuwa mzalendo kweli
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hutaki kujitolea we syo mzalendo basiJionee aibu kwa kuandika upupwu ulokujaa
Hasira za nini wengine mnawalazimisha kazi za kujitolea Nyie kufanya hamtakiAcha wivu.. unafikiri unaweza kunisukuma kukujibu unayotaka. Mfyuuuu[emoji88][emoji88][emoji382][emoji88][emoji382][emoji88]
Hasira za nini wengine mnawalazimisha kazi za kujitolea Nyie kufanya hamtaki
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo naona utakuwa kwenye siku zako acha nkuache maana syo kwa hasira hizo ulizokuwa nazoSasa ndio vizuri nimekuvuta hadi umeonyesha ulivyo [emoji88][emoji88][emoji88]
Jionee aibu or rudi kujifunza ya maishani.
Walimu wengi wameacha chaki na kujipachika vitengo kama uhasibu, uanasheria wa Halmashauri, Maafisa utumishi nk. Aliyeasisi na kubariki mtindo huo anajua anafaidika nini kuajiri walimu lakini baada ya muda mfupi kuwabadilishia fani huku wakiendelea kutumia utambulisho wa Ualimu!!Nyeti hii imepenyezwa kutoka UDOM. Wanafunzi Wanaosoma education wameambiwa wajitolee kufundisha bila malipo kwa muda wote wa likizo Hii fupi itakayoanza rasmi mwezi March. Wameahidiwa kupewa vyeti na Tamisemi endapo watatekeleza zoezi hilo.
My note:
Serikali inatambua uwepo wa uhaba wa walimu. Kwa nini sasa isiajili wakati jemedari mkuu anatamba kila kukicha kuwa hazina kuna mafungu ya kutosha?
Je, hivyo vyeti vitakuwa na impact gani kwa hao vijana?
Serikali iache ubabaishaji, mtaani kuna walimu waliohitimu mafunzo tangu mwaka 2015. Badala ya ubabaishaji wa Aina hii ni vyema ikawaajili hao Vijana.