Tetesi: TAMISEMI yawaomba walimu wanafunzi kujitolea bure kwenye Shule za Kata na itawatunuku vyeti watakaojitolea

Hivi ndugu unaamini woote waliovyuoni kwasasa na waliomaliza Serikali inaweza kuwaajiri? Dkt. Kikwete aliweza kufanya hivyo wakati ule kwakuwa nafasi zilikuwa bado zipo na uwezo wa kuwalipa ulikuwepo. Kwasasa wanalipwa walioajiriwa na Kikwete na bado Serikali inaajiri ila sio kwa kiwango kikubwa.
 
Wakati ule ilikuwa fani za Ualimu na Afya ni uhakika kupata ajira. Lakini awamu hii ya tano hawajali kuhusu ajira, kwa kuwa sio watoto zao wanaotaabika.

Kwa kweli "we real miss Jakaya Kikwete"
Acha upotoshaji. Awamu hii imeajiri watumishi wa afya kwa kiasi kikubwa sana. Kuanzia madaktari hadi manesi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Nahisi harufu ya ongezeko la mimba mashuleni. Watu watajilipa wenyewe. Yangu macho tu.
 

Kwa wabunge wa CCM kila kitu safiii. Wakiwa bungeni adui yao ni CHADEMA tu hata kama nchi inaangamia kwa upuuzi wa kupitisha kwa 100 percent Sera hovyoo za chama chao.
 
Kila kitu huwa ni bajeti mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wabunge wa CCM kila kitu safiii. Wakiwa bungeni adui yao ni CHADEMA tu hata kama nchi inaangamia kwa upuuzi wa kupitisha kwa 100 percent Sera hovyoo za chama chao.
Mambo mengine tunawasingizia tu hawa wawakilishi wetu!


Kama wao wameshindwa, je mimi, wewe, wale, yule na wao tumachukua hatua gani kahakikisha hatuifikishi nchi kule kubaya kunakoelekea!?

Wenzetu unga wa mahindi ukipanda hata kwa senti moja wanaonesha hasira zao za kutokukubaliana na jambo hilo, sisi kwetu ni kulaani tu na kumuachia eti Mungu!

Ngoja tuipandike!...hakuna wa kukuletea maendeleo ni wewe mwenyewe!
 
Mkuu anaweza akawa mhasibu though hakusomea uhasibu? Au una maanisha kuna ukosefu wa wafanyakaz halmashauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakubali uwezo wa kuwalipa hakuna..
Na je unaamin kuna upungufu wa watumishi maofisini???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka kuwa hapo kuna vyeti feki waliondolewa pia, mbona mwenzake aliweza kuajiri kila mwaka
 
Mwenye pesa huwa hajitangazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu BURE au Elimu HEWA? be the judge.

 
Acha upotoshaji. Awamu hii imeajiri watumishi wa afya kwa kiasi kikubwa sana. Kuanzia madaktari hadi manesi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Uliona ile interview ya nafasi za afya jeshini pale Lugalo watu walivyojaa??
Wewe mwenzetu unatumia kipimo gani kuona hakuna ajira mtaani??
Ngoja suala la kukosa ajira limkute ndugu yako ndiyo utajua kama ukosefu wa ajira upo au laa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…