Tamko kwa Wanaume wa Dar

Tamko kwa Wanaume wa Dar

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani hii ni fitina,sasa uhakika ni upi wanaume really ni wapi?wa Dar au wa mikoani
 
Ahaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaa
Ila kweliiiiii
 
Ili ni tamko LA wanaume wa dar au linabidi liwe tamko la watu wa mikoan
 
Leo niko msibani huku mkoa, nimeshudia mengi uliyoainisha, kilichonifurahisha ni kuwa wakati wa kunywa chai, sisi wenyeji tumepewa cha na ndizi, wao chai mkate (sponchi) ndipo nikavundua "KAZI"
 
Back
Top Bottom