Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kariondo ndiyo kanini tena?Kaa nyumbani kwako wewe na familia yako, jiepushe na mikusanyiko.
Mwisho kabisa nawa mikono.
Usitegemee serikali ikusemee kila kitu kinachohusiana na maisha yako. Tumia kariongo yako zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app