Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Apr 16, 2020 #41 Ngorunde said: Kaa nyumbani kwako wewe na familia yako, jiepushe na mikusanyiko. Mwisho kabisa nawa mikono. Usitegemee serikali ikusemee kila kitu kinachohusiana na maisha yako. Tumia kariongo yako zaidi. Click to expand... Kariondo ndiyo kanini tena? Sent using Jamii Forums mobile app
Ngorunde said: Kaa nyumbani kwako wewe na familia yako, jiepushe na mikusanyiko. Mwisho kabisa nawa mikono. Usitegemee serikali ikusemee kila kitu kinachohusiana na maisha yako. Tumia kariongo yako zaidi. Click to expand... Kariondo ndiyo kanini tena? Sent using Jamii Forums mobile app