Vipi kaka interest zako saivi ZIKO salama kwenye biashara zako? Naona taratibu unaanza kurejea kule ulikokuwa kabla ya magufuli kukalia KITI. Ambao tayari wamesha jipambanua ni pamoja na stuxnet
Vijana waaminifu wa mwamba hao
Vipi kaka interest zako saivi ZIKO salama kwenye biashara zako? Naona taratibu unaanza kurejea kule ulikokuwa kabla ya magufuli kukalia KITI. Ambao tayari wamesha jipambanua ni pamoja na stuxnet
Kama Mbowe aliitisha maandamano na hakuna alietoka ndo itakua hao Bavicha
Nimejaribu kushauri tu sijalazmisha mtu kuuchukua ushauri huo.Vipi kaka interest zako saivi ZIKO salama kwenye biashara zako? Naona taratibu unaanza kurejea kule ulikokuwa kabla ya magufuli kukalia KITI. Ambao tayari wamesha jipambanua ni pamoja na stuxnet
Watafuatwa viongozi wa CDM ili wathibitishe kuhusika/kutohusika na tangazo hili. Tena watatakiwa watoe hadharani
Iko hivi maandamo lazima yaungwe mkono na kila mpenda haki maana yakifeli itakuwa hasara kubwa sana kwa taifa. Yakifeli CCM itaenda kuumiza watanzania wote kwa sababu itaamini hakutakuwa na mtu yeyote wa kuifanya chochote.Daah chama kinaingizwa chaka ili kifutwe🤔 mbona hamsemi maandamano ya AMANI?
Tangazo limetolewa na Bavicha. Katibu mkuu hahusiki. Bavicha ni idara inayo jitegemea ndani ya chama. Hivyo hilo tamko linawahusu wao.
Katibu mkuu anaweza kujibu kwa wepesi tu kama hana taarifa juu ya hilo tamko.
Na pia ukija kwa viongozi wa Bavicha wanaweza pia kulikana hilo tamko kwa sababu halina uthibitisho wa wazi kama ni la kwao.
Iko hivi maandamo lazima yaungwe mkono na kila mpenda haki maana yakifeli itakuwa hasara kubwa sana kwa taifa. Yakifeli CCM itaenda kuumiza watanzania wote kwa sababu itaamini hakutakuwa na mtu yeyote wa kuifanya chochote.
Umewasikia organisers akina Mange Kimambi wanavyosema huko Instagram?wanaongelea Insurrection sasa taasisi kama CHADEMA isikubali kuingizwa chaka ni bora CHADEMA ndio wangeorganise maandamano ya AMANI.Iko hivi maandamo lazima yaungwe mkono na kila mpenda haki maana yakifeli itakuwa hasara kubwa sana kwa taifa. Yakifeli CCM itaenda kuumiza watanzania wote kwa sababu itaamini hakutakuwa na mtu yeyote wa kuifanya chochote.
Hiyo barua sidhani kama ni original maana anwani ilishahama kutoka Ufipa kwenda kwenda Mikocheni.
Huenda wametengeza vibaka wa UVCCM wakasahau hata jambo dogo kama hilo, kisheria hii barua policcm wanaweza kuamua kuitumia kama chambo kuwa maandamano ni ya CHADEMA ila hiyo anwani itawaumbua.
Japo maudhui na malengo ya maandamano ni ya wasio na chama na wenye vyama .
Ni mtu mjinga ndio atasema kuna uchaguzi na ataenda kupoteza muda kupiga kura.
Umewasikia organisers akina Mange Kimambi wanavyosema huko Instagram?wanaongelea Insurrection sasa taasisi kama CHADEMA isikubali kuingizwa chaka ni bora CHADEMA ndio wangeorganise maandamano ya AMANI.
CHADEMA chama langu chambo hicho mkikimeza tumekwisha.
Umewasikia organisers akina Mange Kimambi wanavyosema huko Instagram?wanaongelea Insurrection sasa taasisi kama CHADEMA isikubali kuingizwa chaka ni bora CHADEMA ndio wangeorganise maandamano ya AMANI.
CHADEMA chama langu chambo hicho mkikimeza tumekwisha.
Hebu ingia Instagram au nikuwekee baadhi ya clip za Rachel Dangwa na Mange Kimambi ambao ndio organisers?Maandamano ni ya amani hayo mengineyo unaye sema ni wewe
Hebu ingia Instagram au nikuwekee baadhi ya clip za Rachel Dangwa na Mange Kimambi ambao ndio organisers?
Naunga mkono hoja na maandamano.Kwani mngependa kupigania haki gizani?
Kama kuna walioyapinga maandamano hadharani, kwanini iwe haramu kuyaunga mkono hadharani?
TAL angekuwa nje kungekuwa na sahihi yake kuyaunga mkono na ndiyo maana mkisikia ni prospective candidate wa nobeli muwe mnaelewa.
Kwamba mngali mngependa kuendekeza struggle zile zile za machale machale za mwamba na washirika wake walioko chaumma?
Kumbe CCM inawataka mfanye inayowataka nyie nanyi mmekubali?
Barua hiyo CDM inapaswa kuwa proud nayo, na tuhimize wadau zaidi kuyaunga mkono.
Kesho ni hadharani, si gizani!