Tamko la Katambi ni dharau kwa Mabunge ya Ulaya na bunge la Seneti la Marekani

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Serikali inajua na Katambi anajua kuwa, moja ya sababu iliyopelekea kujadiliwa na mabunge haya ni pamoja na kuwanyima wananchi na vyama vya siasa uhuru na haki ya kukusanyika na kutoa mawazo yao.

Unapozuia vyama vya siasa kufanya siasa huku majadiliano ya kuwekewa vikwazo yakiendelea, itatafsiriwa na wajumbe wa mabunge hayo kuwa ni dharau they are nothing, Who are You.

Serikali haioni kuwa kitendo hiki ni kutia chumvi kwenye kidonda kibichi na huenda kitawapa uhalali wa kuendelea na mipango yao ya vikwazo.

Soma Pia: Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote

Najua siku si nyingi serikali itakuja kutoa ufafanuzi au kumkana Katambi kuwa haikuwa kauli ya serikali.
 
hayo mabunge yanahusika nini na masuala ya ndani ya Tanzania gentleman?

au wew ni muwakilishi wao and their puppet humu nchini?🐒
 
Usikivu wa wanyama anuai ni tofauti mfano kenge kamwe sii msikivu,hadi ashuhudie anavuja damu,ndiyo anajaribu kuwa msikivu,hivyo jua kuwa hiruma sii malezi acha wanakulitafuta wana wayapate!
 
hayo mabunge yanahusika nini na masuala ya ndani ya Tanzania gentleman?

au wew ni muwakilishi wao and their puppet humu nchini?🐒
Hayahusiki ni kimbelembele tu cha Kombo kwenda kwao kujipendekeza.
 
Kwakweli kuna mambo yanafnyika unajiuliza imekuwaje tumefika hapa?,
Unapozuia watu kuongea unawafanya wafuge chuki na hasira hawaoni hili ni tatizo kubwa zaidi?
 
Back
Top Bottom