Tamko la katibu mkuu tamisemi likua la kuondoa utata kweli?

stanb

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
153
Reaction score
19
mpaka mda huu kweli MB zinaisha na hakuna chochote. Jamani hii nchi yetu tunaipeleka wapi? Siasa hadi kwenye elimu. Mmh
 
tulia siku bado haijaisha ndio kwanza saa tano asubuhi
 
cku bado haijaish mkuu...
tatz una hamu nayo saan bt leo yatatok hat coz hat jion yenyw haijafk.
 
Kuaa mpole tym bado mpaka ikifika saa 5 na dk 59 ndokesho tuanze maandamano rasmi
 
Sasa haya mambo gani up to now no any good news? Asaa kwani si bora asingesema tu,,michongo gani sasa hii ya kiboyaaaaa huuu ni uhuni sasa eee lazima niseme uhuni bwana.Tena akatoa na tangazo kubwa kwenye tovuti ya Tamisemi,,,,mkubwa daaah sikutegemeaaa siasa hadi kwenye maisha ya watu zaidi ya elfu 40 haswaa huu ni ufedhuli mkubwaa eee ufedhuli!!! Hata ukisema siku haijaishaaaa but hivi unaijuaa tension ya kusubiri matokeo wewe? haswa kwenye jambo lenye utata kama hili? hatujui kama jina litakuwemo amaaa laaah kwani mlishaanza FIGISUFIGISU oooh arts mmejaa sawa sisi tumejaa haya mtoee basi tujuee tunahusika au hatuhusiki aaaaagh.
Watu since jana hatujalala kwa KIMUHEMUHE CHA AJIRA but ndompaka sasa peuuupeeeeee daaah kiukweli hii nchi bora ingekua kama urusi tu full kijeshi aaaaaaah filderi castro njoo bongo uwafunze viongozi wetu kuwa acuracy
 
daah,kweli wana mmefika mbali vuta subra kdogo hata bwn Jumanne Sagin anajua km leo ndo trh 25 hvo tungoje hadi sa kumi jion! In Shaa Allah!
 
siku njema uonekana asubuhi...kama wangekua wanaweka hayo majina ingekua tiyar...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…