Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vumilia kidogo mkuu; sidhani kama Katibu Mkuu alitamka saa.mpaka mda huu kweli MB zinaisha na hakuna chochote. Jamani hii nchi yetu tunaipeleka wapi? Siasa hadi kwenye elimu. Mmh
mpaka mda huu kweli MB zinaisha na hakuna chochote. Jamani hii nchi yetu tunaipeleka wapi? Siasa hadi kwenye elimu. Mmh
Maandamano yanaanzia wapi