Mwenye akili na anayetaka kujikomboa kiuchumi ataupenda sana ushauri huu.Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.
Haa TehMataga pori dishi limeanza kukaa sawa.
Hahahaaaa..... Wakitumaliza sisi watahamia kwenu by TAL!Mataga pori dishi limeanza kukaa sawa.
Ngoja tuone!
tatizo ni kuwa wanatukandamiza sana mkuu,Kuna vita ukianzisha haiwez kuisha ndo km hyo ya kuondoa watt wa vgogo serikal. Mm naamin hat ww ungekua na kitengo kizur serikalin usingemsahau mwanao
HongeraAcha wivu basi. Tunakula malupulupu ya wazee wetu. Tuamini watoto wa vigogo wasio na uhalali walitubuliwa enzi za Hayati Magufuli
Hahahaaaa..... Wakitumaliza sisi watahamia kwenu by TAL!