Mbona wakati wa mwendazake hukuleta hii hoja? Au hao watoto wa vigogo wamejazwa serikali kuanzia Marchi 17, 2021?Inasikitisha mno,
Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.
Wakati haya yakiendelea.
Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.
Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.
Lakini wanapotaka kujiajiri wanaambiwa hawana haki ya kujiajiri.
Nani mtetezi wa kada hii ya chini.
Aliyepo ajitokeze.
Inasikitisha mno,

tatizo ni kuwa wanatukandamiza sana mkuu,
yaani hata tukijiajiri hawataki tupange vitu vyetu mjini.
Huko mjini wanataka waishi wao tu na tusiwabugudhi wanapopita na magari yao.
Acha Ku generalize mambo mbona Nyerere alikuwa na nafasi namba 1 na watoto wake hawakuwahi kupewa nafasi za upendeleoKuna vita ukianzisha haiwez kuisha ndo km hyo ya kuondoa watt wa vgogo serikal. Mm naamin hat ww ungekua na kitengo kizur serikalin usingemsahau mwanao
Haikubaliki kumuhukumu mtoto kwa nafasi ya mzazi wake. Kama mtoto yupo kwa njia zisizo halali, utakuwa na hoja. Lakini kama sifa zake binafsi zinamuwezesha kushika nafasi serikalini, kwa nini umuondolee hiyo haki? Kumbuka, wamachinga wanaondolewa kutokana na uwepo wao hapo kuwa kinyume na taratibu za miji....Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.
Muanzisha Mada enzi Mwendazake ilikuwa ni mwendo wa kusifia tu now nadhani wamegusa masirahi yake 😄😄😄Poleni mabadiliko yeyote huja na maumivu lakini! Tukubali kutokukubaliana kwamba njaa ni kali😅 na itaendelea kuwa kali mpaka tutakapogawana mbao na misumari ya kujengea nchi!
Ile time bomb inazidi kujongea sekunde za Mlipuko! Nchi yetu wote ila mazingira ya kuinjoy wanayo wabinafsi wachache walio na madaraka makubwa serikalini! Wao na familia zao waneemeke ila the rest of Tanzanians mvumilie tu amani ni kitu muhimu sana nchini😅!!!
Hahahahha njaa ndio inarudishaga akili za watu wengi! Njaa ikiingia mjengoni lazma malalamiko yaanzeMuanzisha Mada enzi Mwendazake ilikuwa ni mwendo wa kusifia tu now nadhani wamegusa masirahi yake 😄😄😄
Atulie Mnyonge anyooshweHahahahha njaa ndio inarudishaga akili za watu wengi! Njaa ikiingia mjengoni lazma malalamiko yaanze
Unamkumbuka zile ajira ZA tra vigogo waliziharibu mpaka leo hawajaajiri watu.. wataajiri mitoto yao kimya kimyaInasikitisha mno,
Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.
Wakati haya yakiendelea.
Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.
Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.
Lakini wanapotaka kujiajiri wanaambiwa hawana haki ya kujiajiri.
Nani mtetezi wa kada hii ya chini.
Aliyepo ajitokeze.
Bora hamzaInasikitisha mno,

Mimi naona ili suala hili la malalamiko kuhusu labda kada fulani inapendelewa katika ajira liishe, Interview ziwe zinafanyika public, live TV zote.Inasikitisha mno,
Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.
Wakati haya yakiendelea.
Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.
Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.
Lakini wanapotaka kujiajiri wanaambiwa hawana haki ya kujiajiri.
Nani mtetezi wa kada hii ya chini.
Aliyepo ajitokeze.
Wewe unaangukia kundi Gani?Inasikitisha mno,