Tamko la kushangaza kabisa

Tamko la kushangaza kabisa

medsebapol

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
327
Reaction score
225
Zinedine Zidane hatimaye amezungumzia kwanini alimpiga Materazzi kichwa katika fainali ya kombe la dunia 2006. "Aliniita fala,nikampuuzia. Akamwita baba yangu gaidi,nikampuuzia. Sasa hasira zikanipanda pale aliposema ninafaa kuichezea ARSENAL. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli bora uitwe gaidi kuliko kua "ze ganaz". Marco alistahili kubondwa kichwa
[emoji23]
 
Back
Top Bottom