Tamko la Marekani baada ya kesi ya Freeman Mbowe kufutwa

Balozi ni mnafiki, walikuwa wakikosoa sana utawala wa JPM na kutoa matamk kila kukicha. Ila Mbowe alipokamatwa na kupewa kesi ya ugaidi, na wao wenyewe wakiwa wanajua hakuwa na hatia, alitweet na kinafiki na kusema mahakama iachiwe ifanye kazi
Tupatie hiyo screen shot yake tujiridhishe bwashee
 
Ulishindwa kumshauri sabaya mbowe utamuweza Kenge wewe?
 
Ukisoma vizuri ujumbe wake utagundua kautoa yeye kama yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu cha aina hiyo, weka facts.
Vinginevyo ange-clarify kwamba anachosema siyo msimamo wa serikali ya Marekani bali ni mtazamo wake binafsi. Yule ni muwakilishi wa nchi, hawezi ku-Tweet jambo lenye effects kisiasa ambalo liko kinyume na msimamo wa serikali anayoiwakilisha. Nadhani huwa unaona serikali ambavyo huwa zinapata hekaheka za kukanusha kauli za mabalozi, kujitetea na kuwarudisha 'nyumbani' pindi wanapoenda kunyume na mitazamo za serikali zao.
 
Basi kama ni marekani wamesema angaweka waraka wao na mhuri au hata nemba (kama unavyoona waraka wa nchi nyingine)sio aandike huko twiter mnasema eti marekani imesema.
Msifanya twit yaks iwe kuuubwaaa wakati ni mtu kaandika maoni yake kwenye avount yake binafsi tdna ya mtandao wa kijamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My point, hawezi ku tweet kitu ambacho hakiakisi msimamo wa nchi yake. Hakuna nilipoandika kuwa hiyo ni statement official ya ubalozi.
 
Ulisikia wapi gaidi kasamehewa?
 
Chadema nendeni mkakae mtafakari kwa kina alichoongea balozi ana hoja nzito
 
Balozi ni mnafiki, walikuwa wakikosoa sana utawala wa JPM na kutoa matamk kila kukicha. Ila Mbowe alipokamatwa na kupewa kesi ya ugaidi, na wao wenyewe wakiwa wanajua hakuwa na hatia, alitweet na kinafiki na kusema mahakama iachiwe ifanye kazi
Kwa hiyo hapo unafiki uko wapi?
 
Marekani isipoturudisha kwenye MCC,tutamrudisha Mbowe ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…