wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Ukisoma vizuri ujumbe wake utagundua kautoa yeye kama yeyeBalozi ndiyo anaiwakilisha nchi, tamko lake ni msimamo wa serikali yake.
Amekula kiapo hivyo hawezi kwenda kinyume na serikali yake.
Sent using Jamii Forums mobile app