Basi nitakutukana nijuavyo. Nimesema several times, kama huwezi kujibu post zangu bila matusi kejeli, just ignore. I will not spare you ukinitukana. Sitajali nani, mradi umeumia. Jiepushe na majibu ya kejeli na matusi kama uliyotoa next time. Just ignore if you feel you can not make it without abusive language. Umenitukana nitakutukanaWewe ni mbwa tu huna lolote unalojua mamangu ndiye anachati na wewe?Acha ukalumakenge.
Matusi ya nini? turudi kwenye mada jamani; mbona mnakuwa kama watoto?Wewe ni mbwa tu huna lolote unalojua mamangu ndiye anachati na wewe?Acha ukalumakenge.
Dawa ya moto ni motoMatusi ya nini? turudi kwenye mada jamani; mbona mnakuwa kama watoto?
Hivi hao Marekani wanayofanya huko kwao wameyasahau ?U.S. Embassy Tanzania
Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania
Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga mazingira ya vurugu, vitisho na ubaguzi. Tunahuzunishwa na hatua za ukamataji watu unaoendelea na unyanyasaji wa makundi maalum, wakiwemo mashoga, na wengine wanaotaka kutumia haki zao za uhuru wa kujieleza, kushiriki na kukusanyika. Vyombo vya kisheria vinatumika kudhibiti uhuru wa raia kwa wote.
Kuzorota kwa hali ya haki za binadamu na utawala wa sheria nchini Tanzania kunakwamisha maendeleo, ustawi wa uchumi, amani na usalama. Tunatoa wito kwa mamlaka nchini Tanzania kuchukua hatua za makusudi kulinda haki za asasi za kiraia, watetezi wa haki za binadamu, waandishi wa habari, wafanyakazi wa afya, wanaharakati wa kisiasa na watu wote kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, mkataba wa Afrika wa haki za binadamu na watu, na makubaliano ambayo nchi imeridhia kikanda na kimataifa.
Soma https://bit.ly/2DzXkFD
#Demokrasia
#HakiZaBinadamu
View attachment 931919
Alianza matusi nikampa ambalo alikuwa halitegemei.Matusi ya nini? turudi kwenye mada jamani; mbona mnakuwa kama watoto?
Vikwazo kama travel ban kwa maafisa wa serikali etc , misaada ambayo haina athali kwa watanzania wanyonge na vitu kama hivyo. Lile kama la Afghanistan la Osama bin Laden bado hatujagusa P>>>U>>>M..,B..,,U za Trump! Tukizigusa anadondosha na Saratoga!Nimecheka sana hii comment yako. Mkuu unataka marekani achukue hatua gani?
Sio kweli - dawa ya moto ni maji yenye dawa ya kuuzima. Hizo ndo kauli zinazopotosha jamii. Fikiria alosema hivyo alikuwa na maana gani?Dawa ya moto ni moto
Hujui kiswahili wewe ,ila km unaleta utani sawa.Sio kweli - dawa ya moto ni maji yenye dawa ya kuuzima. Hizo ndo kauli zinazopotosha jamii. Fikiria alosema hivyo alikuwa na maana gani?