Tamko la Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusu madai ya kusambaa kwa matukio ya utekaji wa Watoto, asema Nchi ipo salama

Tamko la Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusu madai ya kusambaa kwa matukio ya utekaji wa Watoto, asema Nchi ipo salama

Shiikamo mzee masauni kwani uyu mtoto alibino ilikuwaje au aja uwawa uyu mpaka watuu miwa wakaka matwa leo sasa una semaje
 
Sija wahi kimuelewa huyu jamaa. Na sitakaa nimuelsws. Namshangaa sana Rais kuendea kumkumbatia huyu boya na IGP wake. Hawa ndio wanao haribu malengo mazuri ya Rais.
Hivi si anatoka zenji huyu…
 
Watu wanatekwa waziri anasema hakuna utekaji

Ova
 
Angalia hata body language yake hamaanishi anachokisema kma mtu alie changanyikiwa
 
Six5b0TZWlBbGx71.jpg
 
Back
Top Bottom