Tamko la munduli kwa Wapinzani

Hao wanashinikizwa na Lowasa tu maana walikwisha sema za ubunge wanaweza kumpa huyo Lowasa ila za urais Kikwete asahau
 
Kama Unajitoshereza, chumvi unayoomba kwa jirani ni ya nini?
Kama mtaji wa kura upo wa kutosha Monduli Mabango, Kununua shahada, migao (T-shirt, kofia, pesa n.k) ni vya nini?
 
hongera.
mwizi hula na wezi wenzake
 
Waache waendelee na sisiemu yao ila waelewe kuwa watatyaba hadi Yesu arudi!
 
Hawajui kusoma may be walitaka kuandika kushindwa kwa CCM ni 99.9% Kazi kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…