"Tamko la Pinda"

Yaani sijui nikupe nini ypu have said it all..mimi binafsi nina ndugu yangu mbaye ni albino na ninaumia sana kuona watu wengine wanashabikia na kauli ya PM....

Kelly,

Unaweza ukaninong'oneza anwani ya huyo NDUGUYO???

Just kidding ................... Poleni sana na tuko wote kwani hii AIBU ya WATANZANIA ni wauwa Ma-Albino, twaibeba wote mara ukisema wee Mtz.
Huwa nikiiangalia film za miaka ile huko Alabama, weusi wanawindwa kama ndege, lohhh!!! Picha kama MISISIPI BURNING...... Nafikiri Pinda aseme au asiseme, hawa watu wakikamatwa............. Hata akina Mkapa, wanaranda kwa sababu vyombo vya USALAMA vinawalinda, vinginevyo maneno ya PINDA yangelifanya kazi yake kuanzia kwa Mkapa, Mamvi, brother Chenge/Mahalu (Duu Wasukuma Mafisadi nyie), Mramba (aende Keko akale nyasi), Yona....
 

If each one of us were to succumb to the level of being led by what we feel then some of us would have a lot to say or do against those people who hurt our feelings. One of the distinguishing attributes of a person is the faculty of reason which is the ability to seek truth, follow it wherever it may lead you. But even more it is that human faculty that helps us to rule over passion.

Ni hii "reason" ndiyo inatuweza kuamua wema na ubaya, inatuweza kutawala hisia na vionjo na inatuwezesha hata wakati wa adha kubwa kutogeuka wanyama na kufuata hulka zetu za asili (basic instincts).

Sasa unaandika kwa sababu unafikiri naandika kwa sababu sina ndugu albino au mtu anayetishiwa maisha yake kwa jinsi hiyo. You are wrong. (Ungekuwa ni mtu unayenisoma utajua ni kwanini mara ya kwanza niliandika kuhusu suala hili almost over a year ago). It is personal to me and that feeling of revenge that hoovers over me is a feeling of doom. Sijui nitafanya nini nikigundua kitu kibaya cha msingi huu kimempata ndugu yangu. One thing I know, nikimkamata huyo mtu sitomuua! Sizungumzii kutoka kwenye njozi I have been here before and I know taking somebody's life is not like kumsukuma mlevi! It is not just pulling a trigger and later go and get some coconut juice! No sir..

If I were to take someone's life it'll have to be totally in self defense or by circumstances that can be legally defensible. Not because I'm mad, upset, fed up, tired, and such.

I am worried sometimes how the opposition parties react to some issues. Their solution is always for one to resign, but instead of accepting it as a human error and lay down their solution to the problems.

U don't accept things as human errors when you give someone a chance to retract. Ungekuwa unafuatilia utaona kuwa jambo hili lililotokea swali langu la kwanza na mwitikio wangu wa kwanza ulikuwa "NI nini hasa Waziri mkuu alisema". Nilizuia msimamo wangu hadi nipate taarifa ya kutosha hadi kuandikia ofisi ya Waziri Mkuu.

Siku ile nimepata majibu ya Ofisi ya Waziri Mkuu sikutaka kuandika tena kwani niliridhika. Wrong was I? Siku hiyo hiyo gazeti la The Citizen likaja na habari kuwa Pinda mwenyewe amekubali kuwa kauli yake aliisema na alimaanisha. That is what triggered my strong reaction. Tulimpa nafasi ya kufuta kauli, kuifafanua na kuiweka kwenye maudhui yake. Yeye akasema "yes I meant what I said". Hiyo siyo human error, that is arrogance of power and a mentality of impunity! I for one can not accept it. If you can that is fine. Kila mtu na ubongo wake.

Any caring citizen who believes in humanity would react the same way the PM did.

No sir, any caring citizen who believes in humanity and the rule of law and the whole concept of justice would not react that way! I care a lot about what is going on, but I don't react with such sentiments. And remember, I for one am not questioning his caring, his honesty or his feelings about the matter, I'm questioning his judgment and temperament as a leader. Even if these were questionable, that does not mean that he is not a caring citizen. Just a misguided one.

I would rather accept his apology and unity to find solutions to this problem, which is becoming a national crisis.

agreed;


I think there is a need of declaring a national crisis that requires collective efforts to fight the perpetrators.

agreed;
This is not a time to gain political leverage on the expense of the Albinos.

agreed;

All interest stakeholders have to come together and find a solution.

some are trying but we are not making a headway with such kind of sentiments in the air.

I would have been so impressed if Dr. Slaa himself would take initiative and host some albinos from his own constituency.

How many are you willing to sponsor or adopt. Not everyone need to publish what they are doing lest it invite unwanted attention. Sasa Dr. Slaa au kiongozi mwingine ambaye hana ulinzi kama wa Waziri Mkuu akisema nina mtoto Albino halafu akamuacha jimboni kwake wahuni wakamvamia si itakuwa ni kashfa nyingine tena. Jinsi mtu anavyosaidia albino tuiache kwa mtu huyo.

At least Waziri Mkuu has adopted a child who might have become a victim and another number.

Kwa haraka haraka yaonekana vyema.. lakini unajua utaratibu wa kuadopt mtoto Tanzania? Unajua sheria zilifuatwa au yeye kaenda tu kwa vile ni Waziri Mkuu anasema "hey, I'll adopt that one.. and off they go!" Don't even make me start on that one.


Resignation would not solve the problem.

Not the killing of albinos but will solve a problem of mediocre leadership!
I am not defending his statement, but the statement does not require his resignation.

Believe me.. if he didn't change it is sufficient enough for prosecution for incitement of violence! Do you think if what he said would have been said by a MwanaHalisi Editor or Mwananchi Editor yangebakia mitaani!? Au kama Zitto angeyatamka kwenye kampeni zake mikoani, ungeona jinsi mashine za kuharibu jinsi zingefunguliwa! Ashukuru kuwa yeye ni Waziri Mkuu! And that is the only reason why he is still in power!


We should bear in mind resignation is also costly for our nation.

so are the careless words! sometimes even costlier!


lets leave our politics aside and work for a solution.

We are trying just jump on the wagon! you are late.
 

Unaonyesha ulimbukeni!

Kwa sababu Bush kalia huyo ndio awe kipimio cha nini ni sawa kwetu?

Watanzania, viongozi na wananchi huwa hatuna tabia ya kulia lia kwenye hadhara, ni Pinda ndio anaanzisha.

Wazungu ndio wakifumwa kwenye soo wanakuja na wake zao kwenye altare kujiliza.

By the way, Pinda alileta mkewe?

Pinda hana judgment or emotional capacity to hold office of Prime Minister.
 
Pinda Kayendelea Kupinda😱😀

Tumsindikize-Pinda, Pinda, Pinda baba huyo pinda!

Tuitikie: Oooh, Pinda Baba huyo Pinda!

Na, 'Vionjo' Pinda.!!!! Vigelegele!

Nilinenea mwanzo, nafikiri kula Breki!!!, 'Waziri wa Mawaziri wote nga'mbo ya JF Ville Kayanza Kupinda,'
sasa ajipindua aanza Kuonja-read vionjo, ajipindua!😀

Nitasubiri mpaka 'kesho, leo.'
 
Mwana KJJ na kundi la mlengo wako katika thread hii mie nina swali:-
Hivi Waziri Masha anatakiwa kumheshimu PM Pinda? Hivi Waziri Sophia Simba anatakiwa kumheshimu PM Pinda? Hivi Boss wa UWT na POLISI, wanatakiwa kumheshimu PM PINDA?

yes!
Hawa watu wote kama alivyo PM mwenyewe, wamechagulia na Rais kikatiba. Sasa kama wote tumechaguliwa na JK, hivi si wote tuna nguvu sawa? Sanasana mmoja ana madaraka zaidi ya mwingine ila HAKUNA kutishiana NYAU.

wrong. Mawaziri wengine wote wanachaguliwa na Rais kwa kushauriana na Waziri Mkuu. Rais hawezi kuteua waziri bila kushauriana na waziri mkuu. So, kwenye hilo peke yake mawaziro wote si sawa.

Lakini jingine ni kuwa kuonesha kuwa si sawa ni kuwa Masha akijuzulu, Rais anaziba nafasi hiyo bila makeke, Sophia akijuzulu mawaziri wengine hawana hata wasiwasi.. guess what happens Pinda akijiuzulu!!! Baraza zima linavunjika na Rais hana cha kufanya hapo kwani hawezi kumlazimisha Waziri Mkuu kuwa Waziri Mkuu kama hataki! so in short mawaziri wote si sawa! Ndiyo maana mmoja tu anaitwa Waziri Mkuu!

Lakini kukuongezea ni kuwa zaidi ya yote Waziri Mkuu is third in line to the Presidency! so do you really believe wote wako sawa!? Pinda akisema mawaziri wengine lazima wasikilize. akitaka Waziri ang'olewa anang'olewa (that will happen to Masha).

Kwa hiyo kama hawa watu wawili wakiamua kumdindia Pinda, atawafanya nini? Hata ile barua waliyomshitaki Masha kwa Pinda, je Pinda anauwezo wa kumuondoa Masha/Simba?


Yes.. na hawawezi kumdindia. Wajaribu waone kama hajatishia kujiuzulu na wao wakaondolewa. It is cheaper kumtimua Waziri Mmoja kuliko Waziri Mkuu!


ni mapendekezo ambayo yamekuwa yakitolewa mara nyingi kwa miaka na miaka yana hasara kubwa kwa chama tawala. So hayakumbatiwi.

Muono wangu:- " Machozi aliyotoa yalikuwa yamesababishwa na uchungu wa UNATAKA KULISHUGHULIKIA JAMBO, UNAFIKIRI UNA NGUVU NA UWEZO WA KUFANYA HIVYO, ILA KIKATIBA YA TANZANIA INAKWAMBIA HUWEZI FANYA KITU.."

Ni muono wenye makosa.


no comment.
 

First Class BS.
Pinda ni binadamu kama wewe na mimi au na hao WAZUNGU wote tuna emotions. Sasa kama kulia kwake hadharani kumemfanya aonekane si mwanaume wa shoka machoni kwako hilo ni lako na Mungu wako.

Kwa mara nyingine kudos kwa Pinda kwa kukubali kosa na kuomba msamaha, jambo ambalo wewe umeshindwa kulifanya mpaka leo baada ya kumzushia Dr Masau.

NB. Samahani kwa kwenda nje ya mada.
 
Last edited:
Wakati anakula kiapo aliapa kutokulia hadharani nini? Mwisho wa siku hao viongozi ni binadamu na wana hisia kama binadamu wengine.

Unajua nini Icadon, huyu ~ Kuhani mjinga sana. Eti Watanzania (viongozi na wananchi) hatuna tabia ya kulia lia hadharani...ebo...mbona mtu kibao huwa zinalia kwenye misiba...Nyerere mwenyewe alilia wakati Sokoine alipokufa....sasa huyu ~ anadai eti Pinda ndo anaanzisha.....I'm telling you this Kuhani guy or (girl) is a pathological liar!!
 
Last edited by a moderator:

Mwana KIJIJI,
Nashukuru kwa JIBU. Ila hapo nilipokuwekea rangi nyekundu ndipo SHETANI YUPO. Uwezo wa PM wetu unaishia tu kwenye kutishia NYAU kuwa NTAJIUZURU. Zaidi ya hilo ni kuwa HAWEZI KUMFANYA KITU Waziri yeyote. Ni kweli ana madaraka makubwa kama ulivyosema ila ukiangalia sana ni kuwa, yeye baada ya kuwa kiongozi wa Serikali, anakuwa ni muwakilishi wa Rais aliyepewa madaraka zaidi. Ni kama wale Kiranja (ST) na Kuruta. Mwisho wa siku wote mko chini ya Afande. Ninaamini sasa kuwa maneno mengine huagizwa aseme. Kama haya ya Meremeta SI mali ya serikali. Nasubiri siku ambayo PM atakuwa kweli KIONGOZI WA SERIKALI, na Mawaziri wote wakija kwake kusujudu na atakayebisha .......... Ila serikali ikiboronga, ijulikane nani ashikwe SHATI. Hali ya sasa ni kuwa Rais anaagiza Madudu, madudu yanafanywa na serikali. Mkiuliza, Rais anasema ni SERIKALI yaani PM na Mawaziri. PM anakuwa hana la kusema kama yule Mkurugenzi ambaye kaishia kulia tu baba wa watu..... Hapo wee sema "mbona boss uliagiza ....."
Ndiyo maana, BARAZA LA MAWAZIRI anasoma Rais na siyo PM. Mwisho ni kuwa hata kama PM katishia kujiuzuru, Rais anaweza kumwambia "you can go to hell ... (kama mtani wangu Malecela vile)" na hapo akatimua baraza zima la mawaziri na kesho yake anamleta Lowasa, Masha, Simba, ........ Ahhh, Mgogo mie ngoja nikajilie ugali wangu wa MHUMBA....
 

umesema vizuri sana. Tatizo ni kuwa Waziri wetu Mkuu bado hutaki awe populist. Vinginevyo ni mtu ambaye anaweza kuwa chanzo cha anguko la Rais aliyeko madarakani. Believe me, kama Lowassa angetaka kuanzisha kasheshe la kisiasa nchini dhidi ya JK.. vingeiva. Don't underestimate nguvu za Waziri Mkuu hata sasa.

Na atakuwa Rais wa ajabu ambaye atakubali kuacha Waziri wake Mkuu halafu amrudishe mtu aliyepingwa na waziri Mkuu kwenye baraza linalokuja kama hasa mtu huyo amehusishwa na vitendo vya kifisadi. Believe me, waziri mkuu ndiye atakuwa shujaa na siyo Rais.

Kama PInda anafikia mahali kuwa hamtaki Masha kwenye cabinet, Masha harudi. Usidhani Chenge aliondoka hivi hivi!
 


Sikonge,Rais kulingana na katiba yetu hawezi kusema yeye siyo serikali,hawezi kusema serikali ni PM na mawaziri manake yeye ndiye kiongozi wa serikali na waziri mkuu ni msimamizi tu wa shughuli za serikali bungeni na isitoshe yeye pia ndiye mwenyekiti wa vikao vyote vya baraza la mawaziri.
sasa coming to your suggestion-wataka tuwe na PM as a head of government,that to say Rais iwe ni ceremonial post tu ama vipi?Mimi nadhani ni uwajibikaji tu.Tungekuwa na viongozi wazuri,wazalendo,wanaojua wajibu wao basi mambo yote yangekwenda sawa.Kusema tuwe na waziri mkuu mwenye madaraka kushinda rais haitatusaidia kama watu wenyewe ni walewale.
 
Nimefrahi kuona kwamba Waziri Mkuu Mh. Pinda amekili mbele ya umma kwa kosa alilolifanya akiwa kama binadamu yeyote mbali na wadhifa alio nao. kuteleza au kukosea hakujalishi wadhifa wa mtu as long as ni binadamu. La muhimu ni uungwana wa kukiri kosa na pia kuomba msamaha, jammbo amabalo amelifanya. Kwa hiyo basi nampongeza sana.

Fundisho:-
Somo nililojifunza na kufurahia katika tukio hilo ni viashiria ya ukomavu wa demokrasia nchini. Ni demokrasia hii inayotufanya watanzania tuweze kuhoji na serikali ikasikiliza, pia ni demokrasia hii imewafanya viongozi waanze kutambua ya kwamba uongozi wao ni dhamana waliyopewa na wananchi na hivyo hawatakiwi kwenda kinyume na matakwa ya waliowatwika dhamana hiyo.

Enzi za...."hata ikibidi kula majani mtakula...lakini ndege ya rais lazima inunuliwe" au..."....watu wanasema nina umri mkubwa...kwani urahisi ni kubeba zege??"....na kauli nyingine mbaya zilizowahi kutolewa na viongozi wasioheshimu misingi ya demokrasia na utawala wa sheria.....enzi hizo ZIMEPITA!

Lakini pia hatuna budi kukubali kwamba Tanzania imepiga hatua kubwa sana katika kufuata misingi ya utawala wa sheria ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Ndg msomaji, kama wewe unafuatilia kwa ukaribu utawala wa serikali za majirani zetu barani Afrika utakubaliana na mimi kwa hili.

Ombi:
Watanzania tushikamane kuijenga nchi yetu bila kujali tofauti za itikadi. Pale serikali inapofanya vizuri tutambue uzuri wake kwa pamoja na pale inapokosea tukemee kwa pamoja...sio kuungana ktk kukemea tu. Viongozi wachache ambao bado wana kasumba ya kutoa kauli mbaya kwa jamii hasa wawapo kwenye majukwaa ya kisiasa...inabidi wajua ya kwamba wako nyuma ya historia...

Asanteni
 
Last edited by a moderator:
....If that is the case, ...''then that's the gentleman way of doing things'... I've no encumbrance. However, it should be noted that killing others is crazily thwarting so murderers should take care the same still can hold true at individual level.
 
....If that is the case, ...''then that's the gentleman way of doing things'... I've no encumbrance. However, it should be noted that killing others is crazily thwarting so murderers should take care the same still can hold true at individual level.
 
Wakati anakula kiapo aliapa kutokulia hadharani nini? Mwisho wa siku hao viongozi ni binadamu na wana hisia kama binadamu wengine.

Kwa hiyo ume drop argument yako kwamba Bushi kalia kwa hiyo na Pinda nae ni sawa akilia? Vizuri. Weka Bush pembeni, wao viongozi wa Magharibi ndio wana kiutamaduni cha kujilizaliza hadharani wakiwa kwenye public scandle. Sisi hatuna huo utamaduni wa kujilizaliza unapokuwa katika public storm, Pinda ndio atakuwa wa kwanza.

Viongozi wana hisia kwa sababu ni binadamu lakini binadamu wanatofautiana. Waziri Mkuu anatakiwa awe na judgment na emotional competence ya kutolialia akishutumiwa kwamba amechochea wananchi wauane uane ovyo ovyo.

Eti hata Bush kalia!
 
Wakati anakula kiapo aliapa kutokulia hadharani nini? Mwisho wa siku hao viongozi ni binadamu na wana hisia kama binadamu wengine.
 
Jamani PM ameonesha wazi kwamba anakubali kosa lake, na wazi ameomba msamaha. Ni vyema na ni busara na sisi kama binadamu tukaelielwa hilo na kukubali msamaha wake. Na pia inaonesha kwamba PM ni kiongozi anayeelewa misingi ya demokrasia. Ni kiongozi wa kwanza ndani ya Tanzania kukubali wazi kosa na kuomba msamaha. Tumeshakuwa na viongozi wengi hapa Tanzania wametumia lugha chafu na za kibabe hata pale wanapokosea ama hata pale ushahidi wa kosa uko wazi.

Tafadhali wana JF tumsamehe PM wetu kwa hilo kosa na aendelee na kazi.
 

Argument ni kuwa watanzania(viongozi na wananchi) hatuna utamaduni wa kulia hadharani mind you hukusema viongozi wakiwa na scandal.
Yes, nimemtumia Bush na rais wa China kama viongozi waliolia hadharani na hakuna aliyesema hawafai kuongoza kwa sababu wamelia. Narudia tena Pinda kama binadamu yoyote yule ana haki ya kulia kama jambo limemuumiza au kumgusa.

Ombi onyesha uungwana kama wa Pinda muombe msamaha Dr. Masau (nina uhakika kuomba msamaha ni utamaduni as mtanzania).
 
I think that we are digressing when we say watanzania hatuna utamaduni wa kulialia hadharani. Mi sidhani tatizo ni kulia, tatizo ni kwa nini analia na wakati gani.
Mmetoa mfano wa Bush, naomba niwasilishe mfano wa Blago - gavana wa Illinois ambaye leo ametimuliwa!! Alilia sana hadharani aliongea wee, mpaka leo kasema "I love you" lakini alishindwa kushawishi bunge la Illinois, ambao waliangalia facts! That is how our lawmakers have to be. Concentrate on facts. Emotions have nothing to do here because Pinda was very cool and level headed when he repeated again and again that people who kill Albinos should be killed. Asituletee emotions akiona amebanwa! That is the point!
 

Eheheheheheeee...nani aombe radhi? Tangu lini The Almight, The All knowing, The Lord Kuhani Mkuu akakosea.....

Hivi Nyerere alivyokufa watu hawakulia pale uwanja wa taifa...? Au pale hapakuwa hadharani?
 
- Huyu gavana wa Chicago ni a joke, ambaye huwezi mfananisha na a classman kama Pinda, Waziri wtu mkuu amekubali kua alipitiwa na emotions na facts ni kwamba toka alipotoa kauli yake mpaka alipoomba radhi hakukuwa na athari zozote zilizokwiwsha tokea as the results ya maneno yake, as opposed na gavana wa Chicago, ambaye alileta mtafaruku mkubwa sana kwa State yake kutokana na maneno na matendo yake, na hata kufikishwa kwenye sheria.

- Ni ishu mbili ambazo hazifanani, Pinda ni mstaarbu mno kulinganisha na yule joke wa Chicago. Ameomba msamaha kwangu inatosha na ni mfano kwa viongozi wetu wengine, Mtikila ameshikwa ameomba hela kwa Rostam, lakini bado anajaribu kujifanya much know!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…