Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwanini Rais hataki watangazia watanzania juu uwepo wa korona nchini?Imeeleweka!
NB: Nawapongeza TLS wameonyesha uweledi wa hali ya juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Rais hataki watangazia watanzania juu uwepo wa korona nchini?Imeeleweka!
Hongera wanasheria wasomi kwa kuonyesha njia sahihi.
hizi taaluma nyingine kama madaktari na wote wanaoongoza taasisi zinazosimamia afya za watanzania wanatumia vibaya kodi za watanzania.
Ombi langu kwenu, muishauri pia serikali iwawajibishe wote ambao hawajatimiza majukumu yao ya kuwalinda watanzania na kusababisha vifo ambavyo tungeweza kuviepuka.
Hujanielewa mkuu,Kutegemeana Serikali iliyotufikisha hapa kubadilika kwa kuishauri tu itakuwa kusubiria embe dodo kwenye mnazi.
Tuwape muda serikali na waliotajwa wote kwenye waraka huu kuyafanyia kazi unapendekeza yote yaliyomo katika waraka huu.
Yote ni mwema kabisa ISIPOKUWA hili la KUPIGA NYUNGU.
Hili la nyungu ni moja ya hayo yanayokosa mashiko kisayansi katika kupambana na janga hili.
Na ambao hawana mashaka wafe tu?UVIKO HAUPO.
KILA MMOJA ACHUKUE TAHADHARI KWA KUFUATA USHAURI WA WATAALAMU WA AFYA KUHUSU KUJIEPUSHA NA MAAMBUKIZI YA UVIKO.
ZINGATIA LISHE BORA, MAZOEZI NA TIBA MBADALA ILI KUKABILIANA NA UVIKO.
Kwa maoni yangu, mwenye akili atafahamu kinachosemwa hapo.
Serikali kutamka UVIKO UPO, haitaishia hapo. Kinachofuata ni namna gani inakabiliana nao. Watanzania tulip wengi, hayo masharti ni balaa kuliko UVIKO wenyewe
Mwenye mashaka na afya/uhai wake, aji- lockdown mwenyewe. Hawa TLS wasitake kutuletea dhahama
Hujanielewa mkuu,
kuna uwezekano kuwa kuna sheria zimevunjwa za uhujumu uchumi.
Kwa jinsi walivotuongoza kizembe zembe na wanalipwa pesa za uma huoni kuwa wametuhujumu!?
Kwa nn sasa wasisimamishwe ktk nafasi zao kwa kupisha uchunguzi na washtakiwe wakikutwa na tuhuma?
Tukishawapa deadline alafu ikapita bila kuchukua hatua yeyote tunawafanyaje?Mkuu tuko pamoja. Niliandika kukazia ulichokuwa umeandika wewe. Bahati mbaya Android inatabia ya kiherehere kuingiza vijimaneno bila ridhaa ya mwandishi.
Nime edit na nina paste in italics hapa chini. Mkuu nina usongo sana na hawa jamaa. Kwa sababu yao, leo hii wengi ambao hayajatukuta tu marehemu tunaotembea:
Kutegemea Serikali iliyotufikisha hapa kubadilika kwa kuishauri tu, itakuwa kusubiria embe dodo kwenye mnazi.
Tuwape muda maalum (deadline) serikali na waliotajwa wote kwenye waraka huu kuyafanyia kazi yote yaliyomo katika waraka huu.
Yote ni mema sana, ISIPOKUWA hili la KUPIGA NYUNGU.
Hili la nyungu ni moja ya hayo yanayokosa mashiko kisayansi katika kupambana na janga hili yaliyo tufikisha hapa tulipo.
UVIKO HAUPO.
KILA MMOJA ACHUKUE TAHADHARI KWA KUFUATA USHAURI WA WATAALAMU WA AFYA KUHUSU KUJIEPUSHA NA MAAMBUKIZI YA UVIKO.
ZINGATIA LISHE BORA, MAZOEZI NA TIBA MBADALA ILI KUKABILIANA NA UVIKO.
Kwa maoni yangu, mwenye akili atafahamu kinachosemwa hapo.
Serikali kutamka UVIKO UPO, haitaishia hapo. Kinachofuata ni namna gani inakabiliana nao. Watanzania tulip wengi, hayo masharti ni balaa kuliko UVIKO wenyewe
Mwenye mashaka na afya/uhai wake, aji- lockdown mwenyewe. Hawa TLS wasitake kutuletea dhahama
Tukishawapa deadline alafu ikapita bila kuchukua hatua yeyote tunawafanyaje?
Mimi naona wametimiza jukumu lao la msingi kwa mujibu wa katibaNaona TLS tayari imeanza mashambulizi,kimsingi hizi ni tuhuma za TLS kwa serikali,na sio ushauri kwa serikali. point ya ku note katika walaka wao huu ,serikari imekiuka sheria ya haki na utawala Bora.kimsingi hizi ni shutuma na sio ushauri.kuna Jambo wanalitafuta,ila naiamini serikali Ina watendaji wazalendo na weledi watakaa nao kwa hekima.TLS Wanakowlekea sio kwema kabisaaaa.
Tulivyokuwa tunamkataa Farao hawa TLS walikaa pembeni wakifikiri ya kuwa wapo salama.Wajiandae kunyang'anywa haki zao za kuishi zaidi na zaidi kwani the worst is yet to come![emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]Wimbi la pili la Corona ni manyunyu tu kwa sababu baada ya serekali kukataa chanjo, kirusi kimepata uwanja mzuri zaidi wa kufanya mutations ili kuzalisha variants wa wimbi la tatu na wimbi la nne ambalo litakuwa baya zaidi.
Tulivyokuwa tunamkataa Farao hawa TLS walikaa pembeni wakifikiri ya kuwa wapo salama.Wajiandae kunyang'anywa haki zao za kuishi zaidi na zaidi kwani the worst is yet to come!
Hujanielewa kumbe.Tamko liko kwa Kiswahili, hujali soma kwa uvivu wako sasa unasumbua watu hapa.
Natamani sana kuzifahamu hizo hatua za kuichukulia serikali isiyowajibika juu ya wananchi wake kama TLS walivyoelezea.Hii nchi si ya mtu binafsi au genge fulani na hasa la wahalifu.
Deadline ya kufanyia kazi yaliyo mema namna hii ikipita, itakuwa ni lazima kuchukua hatua.
Waungwana husema, lazima tuchukue hatua kama vile tutakavyoona inafaa.
Ukiwa mpumbavu usilazimishe upumbavu wako kwa wengine.Wanasheria inaonekana wanajua tatizo linalotukabili kuliko madaktari waliofuzu MUHAS na UDSM - Faculty of Medicine - Muhimbili Campus hapo kale iliyokuwa chini ya Prof. Mutabaji
Halafu hao MAT sina hakika kama Wana hata vifaa bingaHuu ni mwelekeo mpya MAT amkeni kutoka mliko.
Woga wenu ni usaliti kwa maisha ya watu. Njaa za matumbo yenu ni kutusokomezea vifo sisi wananchi.
Kukubali kwenu kupokwa majukumu yenu katika vita na ugonjwa huu, kwa hakika ni heri mkajiunga nasi tu katika kilimo cha mkono.
TLS wameonyesha njia.
Hongereni sana.
Mmetekeleza wajibu wenu kwa watanzania wenzenu, mbarikiwe sana.