"Kwa magonjwa mbalimbali ikiwemo na Corona" Kwanini mnataka muambiwe kuhusu Korona tu lakini magonjwa mengine hamtaki kuyasikia? Katika ao 22 si wote walikufa kwa corona lakini umeshindwa kutaja na magonjwa mengine ambayo yaliwaua ao wengine kwanini?