Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

Wazungu pekee ndio watatutetea wanyonge ili viongozi tutakaowachagua watuongoze lakini sio kutegemea genge maslahi la ccm linalotukandamiza.
Chondechonde wazungu tunaomba watakaovuruga haki yetu muwashughulikie Kama wanavyotushughulikia sisi i
 
Endelea kujipa moyo hapo kona za Lumumba 😂😂
 
Matamko ambayo huwa wanaedit tarehe na mwaka tu.
 
D.Trump hana huo muda wa kushughulika na Siasa za Tanzania, acheni kujidanganya, ...
Kwani mkuu wafikili katiba ya USA ni Kama ya kwetu ,iko hivi wenzetu pamoja na urais wa Trump, na utajiri wake ,ila mihiko ya nchi husika lazima kuifuata so akiambiwa fanya hivi na organ za nchi husika anaufyata na hakuna namna atakataa,na elewa kwa rais yoyote wa USA anapata faida Sana pale awezapo shughulikia matatizo ya kisiasa au ugaid,nje ya nchi yake ,
Mwisho tumepita chaguzi nyingi, kwanini uchaguzi huu umekua na matamko mengi,ambayo kwa karibu utayaona Kama mepesi ila sio mepesi kamwe ,fikiria na chukua hatua mkuu
 
Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?


Ndipo akili zenu zilipogotea!Marekani ina mfumo mzuri na sera zisizobadilika juu ya mambo ya nje!
Hatua zitakazochukuliwa na USA kama mambo hayataenda vizuri Tanzania hazijalishi nani ni Rais!
Hiyo ndiyo tofauti ya USA na Tanzania,kule ni mfumo imara wa taasis ndio unaongoza nchi lakini huku kwetu ni one man show!Akitakacho Rais basi huwa hivyo!
 
Matamko ya IGP kuwatishia chadema leo tayari yamewapelekea ICC kuanza kuaandaa jarada lake mapema ili baada ya uchaguzi afikishwe huko haraka iwezekanavyo
 
Matamko ya IGP kuwatishia chadema leo tayari yamewapelekea ICC kuanza kuaandaa jarada lake mapema ili baada ya uchaguzi afikishwe huko haraka iwezekanavyo
Lissu asiende, kama wana mtuhumu kwa kosa lolote wakamkamate wamfungulie mashtaka. CCM Must go
 
Matamko ya IGP kuwatishia chadema leo tayari yamewapelekea ICC kuanza kuaandaa jarada lake mapema ili baada ya uchaguzi afikishwe huko haraka iwezekanavyo

Wajinga hao ICC ndio mna wategemea. Waliwashindwa Uhuru na Rutto. Jamaa hata investigation hawajui. Mashahidi karibia wote waliowachukua Kenya walikuwa mapandikizi ya kina Rutto. Sasa hao wapuuzi ndio Lissu na yule shoga wanafikiri watawatumia kutishia Watanzania?
 
Tulia usijeukavunja sindano.
 
Kwa hili niko tayari kubet mkuu, lakini nakuhakikishia kwamba 2020 JPM atashinda kwa ushindi wa kihistoria na TAL atapigwa pigo takatifu litakalo mdhalilisha vibaya sana
Ndoto za saa tatu Asubuhi Safari hii wizi wa kura haupo jiandae kurejea chato kisha kusubiria kujibu mashitaka ya kutumia madaraka vibaya
 
Lissu asiende, kama wana mtuhumu kwa kosa lolote wakamkamate wamfungulie mashtaka. CCM Must go

Polisi wakati wanaenda kumkamata Lissu , kwa sababu lazima atakamatwa tu asipotii wito, watumie mikono tu. Hala hala wasitumie rungu maana anatafuta sababu. Kajua uchaguzi haambuli kitu mbele ya JPM.
 
Marekani asiwe bosi wa nchi zingine. Eti anafwatilia kwa karibu. Yeye kwani nani? Ni mpenzi mtazamaji tuu.
 
Kenyata na ruto waliwanunua mashahidi na baadhi ya mashahidi walikufa ndipo ushahidi ukakosa nguvu, kwa Tanzania ICC hawahitaji ushahidi wa binadamu video za polisi wakiamrishakupiga mabomu zipo wazi, video za IGP akipiga mikwara zipo ushahidi wa video zao ndiyo itatumika ICC, watanzania wa wapi unawasemea? Watanzania lini wametishwa na ICC? Watanzania hawana Tatizo na ICC wenye Tatizo na ICC ni Polisi wanaotumwa na CCM kuwafanyizia ubaya wapinzani.
 
Polisi wakati wanaenda kumkamata Lissu , kwa sababu lazima atakamatwa tu asipotii wito, watumie mikono tu. Hala hala wasitumie rungu maana anatafuta sababu. Kajua uchaguzi haambuli kitu mbele ya JPM.
Uchaguzi upi? Uchaguzi asioambulia kitu ni uchaguzi wako binafsi hapo nyumbani kwako lakini uchaguzi wa Tanzania magufuli bye bye na mara baada ya uchaguzi atakuwa mgeni wa mahakama kama Jacob zuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…