Tamko la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuhusu hali ya usalama nchini na kupotea kwa Ben Saanane

Ingejulikana vipi wakati Malisa haijui.watu wana line mpaka 6 na hawchomeki kwenye simu zao.
Hili suala la Ben litawalipukia vibaya sana chadema wenyewe.Subiri tuzike askari wetu kwanza
Kachambe urudi hapa tujadiliane
 
Sawa umesikika. Kachimbe dawa
 
Kwamba ili pole iwe sahihi lazima hao unaowapa pole wawe wako? Kweli hii nchi kuna mapunga.
 
Aiseee hii tasisi sijawahi isikia,

Ili kuwa wapi siku zote?

Km amekufa si kishaoza? Halafu ndo wanajitokeza


Kama hujawahi kuisikia UTG ndo iwe ilikuwa wapi? Wewe ulikuwa wapi kuisikia Mkuu, mbona maswali mengine mnauliza kabla ya kufikiria aisee!
 
Huyu Malisa ana matatizo sana.
Anapinga kuwa simu ya Ben iliwasiliana tarehe 16
Watanzania wengi wana line zaidi ya mbili,ana uhakika gani kama ben aliamua kutumia line nyingine

Bashite hujambo?
 
Huyu Malisa ana matatizo sana.
Anapinga kuwa simu ya Ben iliwasiliana tarehe 16
Watanzania wengi wana line zaidi ya mbili,ana uhakika gani kama ben aliamua kutumia line nyingine
Hahahahahha kwahyo atumie line moja kwa miaka 5 mfululizo ila cku mbili kabla ya kutoweka ndio akabadilisha line??? Kaz kwelikweli
 
Unaweza kaaa hta wiki nzima hujaingia JF ila kwei mtu mkubwa kma saanane ndani ya chama ataspend 2 days bila kupiga au kupigiwa simu kwenye namba zake zote alozosajili ikiwemo ya ofisini??? Doesnt make sense
 
Exactly mkuu...

Ktk blah blah zote hizi za UTG sijaona mahali waliposema wamefanya mawasiliano na mwajiri wa Ben(ambaye ni Chadema na Mbowe).

Kua biased kwenye jambo linalohitaji uchunguzi ni kujipoteza moja kwa moja.
 
Ndo umuhimu wa kujua ukweli kwa mwajiri unaanza mkuu wangu. Hapa inaonyesha wanasema tar 16 na polisi wanasema hivyo. Kama ndo hivyo, ina maana Ben amepotea mapema zaidi ya tunavyoambiwa.

Mmoja wa kueleza ukweli huo ni ofisini kwake hapa Ufipa. Kwa nini hawajahoji wakati pako wazi kabisa??
Siasa inatakiwa tuiache tunaposimamia hoja za msingi.

Si kwamba sioni maumivu ya kupotea kwa Ben, ila kuna sehemu pamokosa kufikiwa ili kututoa wasiwasi zaidi.
Unaweza kaaa hta wiki nzima hujaingia JF ila kwei mtu mkubwa kma saanane ndani ya chama ataspend 2 days bila kupiga au kupigiwa simu kwenye namba zake zote alozosajili ikiwemo ya ofisini??? Doesnt make sense
 
Sasa si mnaambiwa waliomba mawasiliano ila wanambiwa mwisho ni tarehe 16!!!! Na hya lisu aliyasema kwenye press na hata message ya kutishiwa maisha ben aliisoma sasa ulitaka chadema wafanye nni zaidi kwa mfano?? How sure are u kwamba walipokuwa kimya ndio intelligentsia ya chama ilikuwa inamsaka pia???

Twende mbele turudi nyuma kma wauaji wa polisi wamepatikana within 24 hours je kwanni polisi wapo kimya mpaka leo??? Hvi nape na bashe kusema ni usalama wa taifa je unafkiri wana calibre ya kudanganya wakati wapo humo humo ccm na hakuna mtubwa serikali aliekanusha iwaje wwe ukatae na useme ni chadema wamemkamata????

Tukuamini wwe au nape na bashe??? Asante
 
Mkuu umeongea sawa unaoneje Mhariri wa MwanaHalisi kama angehusika katika mahojiano haya ya sasa.
 
Dah..... Hii ishu mbona simpo sana...... Mnaikoplikati tu....... Kamata Kubenea binya ile kitu..... Nusu saa tu saa8 mubashara [emoji4] [emoji4]
 
Mkuu umeongea sawa unaoneje Mhariri wa MwanaHalisi kama angehusika katika mahojiano haya ya sasa.
Kwanini mhariri wa mwanahalisi tu kuna bashe kuna zitto kuna nape hawa wanasema usalama wa taifa umehusika na wanaweza thibitisha ssa serikali imeogopa nni kuunda kamati??? Kubenea ana mtazamo wake na hawa kina nape wana mtazamo wao ssa kwanni tuskilize rumours wakati serikalo ina vitengo vyake vinavyoweza pata ukweli wa mambo???
 
Huyu Malisa ana matatizo sana.
Anapinga kuwa simu ya Ben iliwasiliana tarehe 16
Watanzania wengi wana line zaidi ya mbili,ana uhakika gani kama ben aliamua kutumia line nyingine
Katika Dunia hii hakuna mtu aliyeficha siri kama mtawala Wa kijerumani lakini ,aliokuwa akifanya nao kazi walitoa siri zote

Tuombe Mungu,ukweli unakuja tu
 
Afrika tunanchi za ajabu kweli,anapotea MTU watu na viongozi wao wako buheri tu!!

Kwa nini dhambi ya Daudi haikuondoka nyumbani mwake?
Tujisahihishe
 
Hiyo ndiyo Shule aliyofundwa,uhai wa MTU sikitu ,kwake kitu maslahi binafsi 7b
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…