Tamko la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuhusu hali ya usalama nchini na kupotea kwa Ben Saanane

Hiyo ndiyo Shule aliyofundwa,uhai wa MTU sikitu ,kwake kitu maslahi binafsi 7b
 
Wataendelea kumtafuta mpk Yesu atakaporudi tena. Ninachojiuliza kulikoni watekwe walipa ?
 
Hawa wanaongea chini ya kinga si kama huku mitaani. Ndani ya Bunge wanalindwa na Kanuni zao huko.

Kwa gazeti lililoonyesha hata mawasiliano yake na kutoa zaidi ya mara 2 tukio hilo sioni kama ni mwafaka kuachana nao kihivyo.
 
Mkuu Ben aliondoka nyumbani kwake Tabata, asubuhi ya tarehe 18/11/2016 na hata kijana aliyekua anakaa naye alidhibitisha hivyo. Sasa kama mtu aliyekua anakaa nyumba moja na Ben anadhibitisha aliondoka tar.18 halafu mawasiliano ya Ben yanaishia tar.16 we huoni tatizo?
 
Hii habari bila shaka imewapa changamoto Wana habari kuifupisha na kuiripoti....
 
Hawa wanaongea chini ya kinga si kama huku mitaani. Ndani ya Bunge wanalindwa na Kanuni zao huko.

Kwa gazeti lililoonyesha hata mawasiliano yake na kutoa zaidi ya mara 2 tukio hilo sioni kama ni mwafaka kuachana nao kihivyo.
Sasa polisi si mumkamate huyo kubenea mnasubiri nini??? Mbona mnajiuna uma hamtaki kushughulikia hili swala???

Nape naye kaongelea nje kabxa kwenye mkutano wa hadhara bado tu hamumkamati asaidie upelelezi???

U cant be serious
 
Sasa mkuu tukirudi kwenye damage control...... nyie mnawezaje kujihakikishia usalama wenu??? Maana its obvious na nyie mtakuwa targets especially kwa hiyo slogan yenu ya "kuhoji"
 
Kwa maana hiyo huoni umuhimu wa wao kuhoji Mhariri wa MwanaHalisi?

Sasa Kuhoji kunaanzia wapi kama mnakwepa sehemu zingine.

Siasa sasa hiyo!!!!!
Sasa polisi si mumkamate huyo kubenea mnasubiri nini??? Mbona mnajiuna uma hamtaki kushughulikia hili swala???

Nape naye kaongelea nje kabxa kwenye mkutano wa hadhara bado tu hamumkamati asaidie upelelezi???

U cant be serious
 
Mmemhoji na mwajili wake?Au uwezo wenu ni kuhoji upande mmoja tu?
 
Kwa maana hiyo huoni umuhimu wa wao kuhoji Mhariri wa MwanaHalisi?

Sasa Kuhoji kunaanzia wapi kama mnakwepa sehemu zingine.

Siasa sasa hiyo!!!!!
Ndio nimesema sio kubenea tu pia bashe na nape wameshawahi ongea haya nje ya bunhe hao wote muwakamate muwahoji kwani nani kakataaa????

Nyie mnajua sana kuwa kuna haja ya kuwahoji sema mnaogopa siri itavuja maana sioni wapi nape alieshiriki operation zote za chama adanganye khusu taasisi yenu hio nyeti!! No way na kwakuwa hamjakanusha wala kumkamata kwa uchochezi wanachi wataendelea kuamini its TISS iliyomteka saanane unless nyie muamue kuact now mlete ushahidu mwzani wa mbowe kumteka otherwise its cheap meaningless propaganda
 
Mmemhoji na mwajili wake?Au uwezo wenu ni kuhoji upande mmoja tu?
Umesahau press conference ya lisu kuhusu issue ya saanane???? Ingia youtube uitafute labda ndio utajiongeza kabla ya kuuliza
 
1. UTG inatilia shaka ukweli wa taarifa ya mawasiliano ya mwisho ya Ben. Mawasiliano yaliyowasilishwa jeshi la polisi kitengo cha uhalifu wa kimtandao (Cyber crime) ambayo tumeweza kuyaona, yanaonesha kuwa Ben aliwasiliana mara ya mwisho kupitia simu yake mnamo 16/11/2016 saa 2:01 asubuhi.

Lkn Ben aliondoka nyumbani kwake tar 18/11/2016. Hii inamaanisha Ben hakuwasiliana kbs tar 17 na 18 jambo ambalo UTG tunaamini si kweli. Kama Ben aliondoka nyumbani kwake 18/11/2016 iweje mawasiliano yake ya mwisho yawe 16/11/2016? UTG tunaamini mawasiliano ya Ben ya siku mbili za mwisho (tar 17 na 18) yamefichwa kwa sababu maalumu.

2. Katika mawasiliano yanayoishia tar 16/11/2016, zipo namba ambazo tunazitilia mashaka, ambazo si za ndugu, marafiki wake wala jamaa wa Ben. Namba hizo zinaonesha kuwasiliana na Ben siku za mwishomwisho kabla ya kupotea na hazijawahi kuwasiliana nae kbs ktk kipindi cha awali.

UTG kwa kushirikiana na familia ya Ben, tumelitaka Jeshi la Polisi kufuatilia namba hizo ili kuwabaini wahusika na wahojiwe juu ya mawasiliano yao na Ben. Lkn hadi sasa hatujapata taarifa rasmi kutoka polisi kuhusu kukamatwa kwa watu hao.

3. Tangu Ben amepotea hadi sasa tumefanya mawasiliano na jeshi la polisi mara 21. Mara zote hizo Polisi wamekua wakituambia kuwa wanaendelea na uchunguzi. Lkn hawajapata kusema wamefikia wapi katika uchunguzi wao huo.
Tunaheshimu utaratibu wa jeshi la polisi kufanya uchunguzi lakini tunaomba watujulishe hatua waliyofikia. Majibu ya mkato kwamba wanaendelea na uchunguzi hayaridhishi hasa kutokana na suala hili kugubikwa na sintofahamu kubwa.

4. Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Ernest Mangu akihojiwa na gazeti la RaiaMwema la wiki hii alisema Ben anatafutwa kama "missing person" yani kama ambavyo watu wengine walioripotiwa kupotea wanavyotafutwa.

Tunamshukuru IGP kwa kukiri kufahamu suala la Ben. Lkn kutokana na suala hili lilivyo tunaamini si sahihi kumtafuta kama missing person.Ben hakuwa mtoto, wala mgonjwa wa akili, iweje atafutwe kama missing person? Ben amewahi kutoa taarifa Polisi juu ya kupigiwa simu na sms za vitisho. Mtu wa aina hii hawezi kutafutwa kama missing person.
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
 
Hizo taarifa ndio zile Zitto Kabwe alisema Ben simu yake alitumia maeneo ya Tabata asubuhi baadae mchana ikasoma maeneo ya Mikocheni kwa muda mrefu na baadae Mwenge kisha masaa ya usiku ilikuwa sijui Buguruni ...baada ya hapo Ben hakuonekana na simu ilizimwa


UTG ni kitu gani ?
 
Ukweli ni kwamba wenye mitandao wameshapewa onyo dhidi ya mawasiliano ya Ben Saanane. Namba zake zitakuwa in black list. Maafisa usalama wanakumbuka gazeti la mwanahalisi lilivyowaanika kwenye sakata la Ulimboka. Na kwa bahati mbaya hao wa mitandao hawako huru. Kumbuka sababu za kubadilishwa badilishwa majina kabla ya kustukiwa.

Na boss alishatoa tahadhari tena kwa ukali kuwa hawako huru that much. Hivyo kunawakati inabidi waugulie rohoni, wakifungua midomo watajikuta wanahamisha virago.
 
Huyu Malisa ana matatizo sana.
Anapinga kuwa simu ya Ben iliwasiliana tarehe 16
Watanzania wengi wana line zaidi ya mbili,ana uhakika gani kama ben aliamua kutumia line nyingine
Prove him wrong!!! Acha unaongea kwa hisia!/ UTG wako very technical!
 
Kwanini polisi hawatoi ushirikano.kwa maelezo yako inaonekana haiingii akilini.mawasiliano ya mwisho yawe kabla ya siku 2.
 
Siyo shata tena juu ya CHADEMA sasa ni serikali? Mnatapatapa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…