Tamko la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuhusu hali ya usalama nchini na kupotea kwa Ben Saanane

Kaka,issue nzima Kibendera amesha sawazisha.
Iandaliwe maazishi rasmi,zizikwe hata nguo zake,na kaburi lijengewe.
Hata kama mamba wamekula mabaki yake,pawepo kumbukumbu.
Ipigwe Sala kali sana siku ya maazishi.Wauaji waendelee kula 🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…