Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Kaka,issue nzima Kibendera amesha sawazisha.Siku nyingine kama hujui kitu uliza. Ni aibu kuonesha hadharani namna ulivyo mjinga. Ngoja nikusaidie. Kwenye kufuatilia mawasiliano ya mtu tunaangalia simu (IMEI), namba ya simu (MSISDN), OTHERPARTY, aina ya mawasiliano (CALLTYPE), muda (DURATION), Mnara simu ilipopigwa au sms ilipotumwa (CL_SITE_NAME), mida simu ilipopigwa/piga au sms ilipotumwa/tuma (TIME), Tarehe (DATE), wilaya na mkoa ambako mnara huo upo (C_LDISTRICT/REGION). Hii ina maanisha kwamba hata ukibadili line bado IMEI number itabaki ileile. That means simu itasoma ileile, isipokua itaonesha mabadiliko ya line.!
Iandaliwe maazishi rasmi,zizikwe hata nguo zake,na kaburi lijengewe.
Hata kama mamba wamekula mabaki yake,pawepo kumbukumbu.
Ipigwe Sala kali sana siku ya maazishi.Wauaji waendelee kula 🔥