Tamko la walimu kwa serikali na cwt baada ya mishahara

Tamko la walimu kwa serikali na cwt baada ya mishahara

[h=3]HILI NDO TAMKO LA WALIMU WA MKOA WA MBEYA JUU YA KUPANDA KWA MISHAHARA, July 2013[/h]Tamko hili limetolewa leo tarehe 3 august 2013, mkoani mbeya katika ukumbi wa royal zambezi

KIKAO CHA WALIMU WA MKOA WA MBEYA CHA KUJADILI MASLAHI YA WALIMU WA TANZANIA-Tarehe 3 August, 2013.



<>1.<>a.<>b.<>i.<>ii.<>c.

<>2.Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imekuwa ikifanya yafuatayo kwa kwa kada ya utumishi wa umma hasa ualimu:-
<>a.<>i.<>a.<>b.<>c.<>d.<>e. NGAZI YA ELIMU
UALIMU/ ELIMU
KILIMO
AFYA
Certificate (Cheti)
Tsh 344,000/=
Tsh 1,060,000/=
Tsh 562,000/=
Diploma (Stashahada)
Tsh 432,500/=
Tsh 1,252,000/=
Tsh 821,000/=
Degree (Shahada)
Tsh 589,000/=
Tsh 1,473,000/=
Tsh 994,000/=
Jedwali hili ni kwa mujibu wa waraka huo uliotajwa hapo juu


<>b.<>c.3.Sisi Walimu wa Mkoa wa Mbeya tunatoa siku 30 kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Na Chama Cha Walimu-CWT, Kuanzia leo Tarehe 03 August, 2013 hadi Tarehe 03 September, 2013 itekeleze yafuatayo:-
<>I.<>·<>·<>·<>·<>·<>II.<>·<>·<>·<>·<>·<>·Serikali ipandishe madaraja walimu waliojiendeleza kielimu ili kuwapa motisha.
Imetolewa na Walimu Wa Mkoa Wa Mbeya-Tarehe 03 August, 2013- Mkoani Mbeya.

 
Kwamba afisa kilimo makes more than a Doctor? Still awaiting more.
 
Sijaona tatizo ni maombi ya kawaida ambayo walimu wakae na serikali yatatuliwe shida iko wapi.
 
Imani yangu ni kwamba walimu tumekuwa tukipiga hatua kila mwaka.
 
SOMA TAMKO LA WALIMU WA MKOA WA MBEYA JUU YA CWT NA SERIKALI JUU YA MISHAHARA NA HAKI MBALIMBALI KWA WALIMU
MSUMARI MKALI: HILI NDO TAMKO LA WALIMU WA MKOA WA MBEYA JUU YA KUPANDA KWA MISHAHARA, July 2013

Hebu rejea waraka wa serikali kuhusu mishahara, si vema kuanza kupandikiza chuki kwa kutoa viwango vya mishahara ambayo haipo na haijawahi kutangazwa na serikali. Mishahara ya kilimo na afya mliyoiweka ni ya kubuni.

WARAKA WA MISHAHARA MIPYA KWA MWAKA 2013/2014
 
Sijaona tatizo ni maombi ya kawaida ambayo walimu wakae na serikali yatatuliwe shida iko wapi.

Tuanze leo kuomba? Hivi hujui walimu tunalalamika kila uchao bila kusikikilizwa? watu wengine bhana kama hawapo!
 
Back
Top Bottom