Tamko la wana Kawe ( Raia ) kwa Wanajeshi wa Lugalo baada ya KUTESWA kwa VIPIGO na KUUMIZWA vibaya, huku hadi leo JWTZ halijawaomba msamaha

Tamko la wana Kawe ( Raia ) kwa Wanajeshi wa Lugalo baada ya KUTESWA kwa VIPIGO na KUUMIZWA vibaya, huku hadi leo JWTZ halijawaomba msamaha

1. Kuanza sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya hatutaki tena Wanajeshi wa Kawe kuja KUTUKOPA Pesa Sisi Raia wa Kawe na badala yake waende wakamkompe Amiri Jeshi Mkuu au CDF wao bila kumsahau Waziri wa Ulinzi

2. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kuja KUGONGEA ( kuomba Vyakula ) Makwetu pale Wakiishiwa Makwao na wakija kwa Makusudi tutawaitia Wezi ili Raia wafanye yao au tutawafungulia Mbwa Wetu Wakali ili waondoke na Kende zao ili wakafanyiwe vizuri Oparesheni Hospitalini Kwao Lugalo.

3. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kutaka walipe Kodi za Mwezi Mwezi huku URAIANI Kawe na sasa tunapokea Kodi za Miezi Kumi na Mbili tu kana hawana Wakalale Koridoni Nyumbani kwa CDF wao au Waziri wao wa Ulinzi

4. Kuanzia sasa HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kuja URAIANI kwa WALIOTUPIGA na KUTUUMIZA vibaya kutuomba tuwape Maghetto yetu ili Wabandue Mahawara zao ( Michepuko yao ) kwa Kukosa Hela ya Gesti / Loji na badala yake waende wakalale nao Viwanjani Kwao au pale Mapira kwenye Pori kunakotazamana na Chuo chao cha Tiba cha MCMS ili Wakangatwe vizuri na Nyoka Wakali ( hasa aina ya Vifutu ) walioko wa Uwingi

5. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe ambao TULIPIGWA, KUUMIZWA na KUTESWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) ni kwamba HATUTAKI tena Wake zao kuja Makwetu huku wakitia HURUMA kutukopa Fedha ili Wakazilishe Familia na hata ikitokea tukaamua Kuwakopa basi Mkopo huo utaendana na Sharti Tukuka kwamba ni lazima Kwanza Magari yetu Mafupi na Meusi yapite njia zao za MPALANGE kutokea Yombo Vituka.

6. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa hasa MP ) tumeamua KUTOWASAIDIA tena kwa KUWASITIRI Kiungwana pale wakiwa WAMELEWA Chakari na Kizembe katika Baa za Kawe na badala yake tutawaachia Masela WAWAPASULIE MAYAI VIZA na WAAIBIKE vizuri.

7. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe ambao TULIPIGWA, KUUMIZWA na KUTESWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa hasa MP ) bila Kosa lolote kutokana na Wao ( Wanajeshi ) kupenda kuja KUFAKAMIA Migoma ( Mimalaya ) ya Uswahilini ( Uraiani ) Kawe hatutokuwa tunawaambia nani WAMEATHIRIKA kwa HIV ili tuwaokoe na badala yake sasa ( kutokana na ULEVI wao kupenda hovyo MBUNYE ) tutakuwa TUNAWALENGESHA kwa Mademu WAATHIRIKA ili Waupate na Wapukutike wote.

Ubaya Ubayani tu Kudadadeki..!!!!!!!!!

Acha ushabiki, Kanal wetu kauawa na mhuni mmoja hapo Kawe unatarajia nini? Hatuna kawaida ya kuongea sana. Sifa za kijinga zitakuponza.
 
Yaan Bado natafari huko Kawe sijasikia watu wakivunjwa miguu na kutiwa adabu

Jeshi mpaka Sasa msako wake sijaridhika nao huko ndio wanaishia vibaka na wabakaji wa watoto

Jeshi liendelee na msako week mbili ni vipigo tu Kila nyumba mpaka Waseme hao wahuni wamejificha wap
 
Kwa Uchokozi wa Wauwaji na Magaidi wa Hamas wanaopewa Msaada na Serikali hovyo ya Palestina, Iran, Lebanon na Syria GENTAMYCINE nikiwa kama Myahudi Mweusi naunga mkono kila kinachofanywa na Israel hasa ikiwa chini ya Role Model wangu Waziri Mkuu ( Mbabe, Shujaa na Mwerevu ) Benjamin BIBI Netanyahu aliyeko katika Avatar yangu ya ID hapa JamiiForums.
umelishwa propaganda na watu wa magharibi umebaki uanabika kwa kubwabwaja kama punguani
hiyo hamas/magaidi ilianzishwa na nani kama siyo hao wisrael?
punguza mihemko mzee tumia muda wako kidogo kusoma
mambo ya hamasi vs israel siyo sawa na mambo ya simba vs yanga
najua utanitukana sawa tu
 
Jeshi la Tanzania ndo taasisi inayoongoza kwa kuwa na mrundikano wa vilaza wengi zaidi kuliko taasisi ingine yoyote ile.

Kuanzia mkuu wao mpaka yule mwenye cheo cha chini kabisa, wote ni vilaza.

Wewe wasikilize tu hata wakiwa wanaongea. Kama una akili utagundua mapema sana uwezo wao wa kiakili.

Na ndo maana hata yule msemaji wao bila haya alisema kuwa jeshi la Tanzania ni jeshi la 6 kwa ubora duniani.

Kwa mtu mwenye akili, hawezi kusema kitu kama hicho maana hakina kabisa hata chembe ya ukweli wowote ule.

Kutaka ku-reason na wanajeshi wa Tanzania ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.

JWTZ karibu wote ni vilaza. Sijawahi ona mtu aliyefaulu vizuri shuleni halafu akaamua kwenda jeshini.

Ila na sisi Watanzania tu waoga sana. Hao wanajeshi nao ni binadamu tu kama binadamu wengine.

Watu wanapaswa kujilinda. Mwanajeshi, ukiondoa silaha, hana nguvu za ziada kuwazidi watu wengine.

I say fight back. Hit them back. Test their chins and see if they won’t fall.

Umelikosea sana jeshi letu mkuu. Hili sio sawa pamoja na uhuru wako wa kutoa maoni. Huwezi kuweka hitimisho la jumla kiasi hiki.

JWTZ itaendelea kubakia moja ya taasisi imara sana kwa ustawi wa taifa letu.
 
Mmekaa kikao Lini ? We mtoto acha mambo ya kifala kujifanya mjuaji kwenye kila kitu.
 

foolishness:​


[ foo-lish-nis ]


noun
  1. lack of wisdom or good judgment; foolish quality:Oh, the foolishness of thinking that wealth brings happiness!



  2. foolish talk, ideas, or behavior:

    How could someone with such a clever mind as yourself talk such foolishness?

    https://www.dictionary.com › browse › foolishness



hizo akili alizonazo kuwazidi Wanajeshi binafsi sizioni. Na pengine akili hizi za Nyani Ngabu ndio zinaongoza au zilitaka kuongoza taasisi zetu. Na mtu yoyote anayefanya General reasoning kwa watu au kitu mi huwa namuona ana akili fupi na asiyetaka kushughulisha akili zake. Reasons za kipumbavu zilizojificha kwenye vingereza vingi kuficha ujinga wake. Binafsi namuona chizi pia kama hao Wanajeshi anavyowabatiza hizo sifa.
 
Back
Top Bottom