Tamko la wana Kawe ( Raia ) kwa Wanajeshi wa Lugalo baada ya KUTESWA kwa VIPIGO na KUUMIZWA vibaya, huku hadi leo JWTZ halijawaomba msamaha


Acha ushabiki, Kanal wetu kauawa na mhuni mmoja hapo Kawe unatarajia nini? Hatuna kawaida ya kuongea sana. Sifa za kijinga zitakuponza.
 
Yaan Bado natafari huko Kawe sijasikia watu wakivunjwa miguu na kutiwa adabu

Jeshi mpaka Sasa msako wake sijaridhika nao huko ndio wanaishia vibaka na wabakaji wa watoto

Jeshi liendelee na msako week mbili ni vipigo tu Kila nyumba mpaka Waseme hao wahuni wamejificha wap
 
umelishwa propaganda na watu wa magharibi umebaki uanabika kwa kubwabwaja kama punguani
hiyo hamas/magaidi ilianzishwa na nani kama siyo hao wisrael?
punguza mihemko mzee tumia muda wako kidogo kusoma
mambo ya hamasi vs israel siyo sawa na mambo ya simba vs yanga
najua utanitukana sawa tu
 

Umelikosea sana jeshi letu mkuu. Hili sio sawa pamoja na uhuru wako wa kutoa maoni. Huwezi kuweka hitimisho la jumla kiasi hiki.

JWTZ itaendelea kubakia moja ya taasisi imara sana kwa ustawi wa taifa letu.
 
Mmekaa kikao Lini ? We mtoto acha mambo ya kifala kujifanya mjuaji kwenye kila kitu.
 
hizo akili alizonazo kuwazidi Wanajeshi binafsi sizioni. Na pengine akili hizi za Nyani Ngabu ndio zinaongoza au zilitaka kuongoza taasisi zetu. Na mtu yoyote anayefanya General reasoning kwa watu au kitu mi huwa namuona ana akili fupi na asiyetaka kushughulisha akili zake. Reasons za kipumbavu zilizojificha kwenye vingereza vingi kuficha ujinga wake. Binafsi namuona chizi pia kama hao Wanajeshi anavyowabatiza hizo sifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…