Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Tony Antony MTU anaitwa mwalimu pale anapokua Verified kwa vyeti vyake. Sa hawa vyeti uliwapa ww?. Halafu acha matusi..."WALIMMU" ni nini??mbona kama wewe ndo unawachafua walimu kwa upumbavu wako huo?
Ni wavulana wa chuo wamemshambulia mvulana wa secondary kwa lengo la kumuuwa.TAMKO LETU WALIMU
Kilichotokea Mbeya siyo waalimu waliompiga mwanafunzi ila ni wanafunzi wa chuo wamemchangia mwanafunzi mwenzao wa sekondari na kumpiga.
Tafadhali sana tusichafuliane majina.
Waalimu hatupendi ujinga wa kijinga [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Shida nini, sheria ndivyo inavyotaka, hutaki unaenda jelaJamii inataka wanafunz wawe mabosi Wa walimu, tuwe makini Na mijadala yetu, tunakoelekea siko baadae walimu watalaumiwa tena kuwa wanazalisha wanafunz wenye tabia mbovu