Tamko letu walimu kuhusu kilichotokea Mbeya

Tamko letu walimu kuhusu kilichotokea Mbeya

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
TAMKO LETU WALIMU

Kilichotokea Mbeya siyo waalimu waliompiga mwanafunzi ila ni wanafunzi wa chuo wamemchangia mwanafunzi mwenzao wa sekondari na kumpiga.

Tafadhali sana tusichafuliane majina.

Waalimu hatupendi ujinga wa kijinga [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mi naielewa serikali kwa kichapo watakachopata waalimu. Wataingia jela vijana watatoka wazee.
 
Wanasrma mbuyu ulianza kama mchicha umeiona video ya pili nao ni wanafunzi ?
 
kwa mwalimu kuogopa kumwadhibu mwanafunzi ni kukiuka kiapo cha maadili ya malezi,kama ilivyo kwa mzazi kuogopa kumwadhibu mtoto wake anapokosea.
 
Tony Antony ili mtu aitwe Mwl ni had awe verified kwa vyeti, Sa hawa vyeti uliwapa wewe?. Halafu acha matusi, watotovwa Sikh hz cjui mnalelewaje??
 
Jamii inataka wanafunz wawe mabosi Wa walimu, tuwe makini Na mijadala yetu, tunakoelekea siko baadae walimu watalaumiwa tena kuwa wanazalisha wanafunz wenye tabia mbovu
 
Hahaaaaaa.naziona ziro zaidi zikija kwa kasi ya ajabu.
 
TAMKO LETU WALIMU

Kilichotokea Mbeya siyo waalimu waliompiga mwanafunzi ila ni wanafunzi wa chuo wamemchangia mwanafunzi mwenzao wa sekondari na kumpiga.

Tafadhali sana tusichafuliane majina.

Waalimu hatupendi ujinga wa kijinga [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ni wavulana wa chuo wamemshambulia mvulana wa secondary kwa lengo la kumuuwa.
 
Jamii inataka wanafunz wawe mabosi Wa walimu, tuwe makini Na mijadala yetu, tunakoelekea siko baadae walimu watalaumiwa tena kuwa wanazalisha wanafunz wenye tabia mbovu
Shida nini, sheria ndivyo inavyotaka, hutaki unaenda jela
 
Back
Top Bottom