Kapewa kipindi cha akina Dada Leo Tena.Hivi mussa Hussein yuko wapi?
huyo mpuuziHayo ni maswala binafsi je keshawahi kuendesha kipindi akiwa chakari? Katika hii dunia iliyojaa binadamu Ukianza kutafuta miongoni mwao apatikane malaika inawezekana malaika huenda ni wewe huna dhambi
....yalikua ni mambo ya sikukuu... kuanzia j3 watakuwepo vijana wengine wakiongozwa na Babra..Story za Masoud kuchukua nafasi yake ni za kweli?..Au ndo yalikuwa mambo ya sikukuu
Mussa Hussein ni mwanaume wa Dar..Akufukuzae hakwambii toka, kidume kupelekwa LeoTena ni Kama umefukuzwa
Dah!..wamempeleka kipindi cha akina mamaClouds fm kipindi cha leo tena saa nne hadi saa saba mchana
Everethingi...Do listeners follow content, the station or presenters
magazeti atasoma nani tena, jamaa alikua anawezea sana katika kuperuzi na kudadisiBabra yupo kaondoka paul james p.j
Atawika tena jamaa ana kaudadisi flani flani ivi ka kukosoa indirect na kananogesha kipindi kiukweli so pale lazima papwaye tu tena hadi PJ kudadis kutaboa
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Je ni sahihi?Chaulevi nenda zako
"FREQUENCY MPYA SOON"...NAHISI ITAKUWA AZAM KATIKA REDIO YAO "U FM"Kwa Takribani Siku 3 Sasa Kumekuwa Na SINTOFAHAMU Na Kwa Baadhi Ya Ndugu Na Marafiki Imezua Taharuki Kuhusu Ajira Yangu Na Clouds FM..Naamiini Sasa Kwa Upande Wangu Ni Wakati MUAFAKA Kutoa TAMKO Rasmi Baada Ya kufuata Taratibu Zote Muhimu…KUANZIA LEO TAREHE 1 April 2016…Mimi Si Mfanyakazi Tena Wa Clouds Media Group Na Hii Ni Baada Ya Kwisha Rasmi Kwa Mkataba Wangu Na Clouds Media Group Jana 31 March 2016…Nimeamua Hivi Kwa HIARI Yangu Mwenyewe Bila SHINIKIZO Wala RABSHA Na Mwajiri Wangu Huyo Wa ZAMANI..Napenda Nikujulishe Tu Kuwa Nitaendelea Na Kazi Hii Hii Ya Utangazaji Ila Sasa Nitakua Na Kituo Kingine Na SI Clouds TENA…Wapi Na Lini Ni Suala La TIME…Jiandae Kuendelea Kufurahia ASUBUHI YAKO KATIKA FREQUENCY MPYA SOON. ..Haya Ni Masuala Ya FURSA…IKIJA UNAIKAMATA FASTA…Stay Cool…Stay Tuned
Sasa ulitegemea Musa wa uswazi atangaze kipindi gani? Mambo ya Kiswahili ndio anayawezea. Alipelekwaga kule kwenye Jahazi akapwaya. C unajua tena mafahali wawili hawakai zizi moja?Akufukuzae hakwambii toka, kidume kupelekwa LeoTena ni Kama umefukuzwa