Tamko Rasmi la Gerrad Hando

Tamko Rasmi la Gerrad Hando

What goes around comes around huyu kipindi kile aliwasnitch Fina na Masudi wakatemwa
 
Atawika tena jamaa ana kaudadisi flani flani ivi ka kukosoa indirect na kananogesha kipindi kiukweli so pale lazima papwaye tu tena hadi PJ kudadis kutaboa

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Mwambie
Hayo ni maswala binafsi je keshawahi kuendesha kipindi akiwa chakari? Katika hii dunia iliyojaa binadamu Ukianza kutafuta miongoni mwao apatikane malaika inawezekana malaika huenda ni wewe huna dhambi
huyo mpuuzi
 
Atawika tena jamaa ana kaudadisi flani flani ivi ka kukosoa indirect na kananogesha kipindi kiukweli so pale lazima papwaye tu tena hadi PJ kudadis kutaboa

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Clouds tangu 1999 haijawahi kupwaya, Wanakuja na kuondoka wengi sana. Ruge kichwa yake imetulia sana anajua anachofanya. Ila nimependa wamemalizana kistaarabu. Aliondoka Gadner na Masoud bado haikuyumba, Jaydee akajaribu kutikisa Mbuyu kwa Ncha ya vidole matokeo yake imekuwa kama kituo cha Taifa kunachotumika na Rais
 
Clouds has to a large extent become irrelevant. What with bigoted managers like Ruge. Nilisikiliza zile fursa ngapi sijui, aaaarrggghhh just ordinary stuff. Surprisingly Ruge thinks he was being brilliant. Aendelee kuwaramba tu mabinti pale. Ndio interview zake
 
Kwa Takribani Siku 3 Sasa Kumekuwa Na SINTOFAHAMU Na Kwa Baadhi Ya Ndugu Na Marafiki Imezua Taharuki Kuhusu Ajira Yangu Na Clouds FM..Naamiini Sasa Kwa Upande Wangu Ni Wakati MUAFAKA Kutoa TAMKO Rasmi Baada Ya kufuata Taratibu Zote Muhimu…KUANZIA LEO TAREHE 1 April 2016…Mimi Si Mfanyakazi Tena Wa Clouds Media Group Na Hii Ni Baada Ya Kwisha Rasmi Kwa Mkataba Wangu Na Clouds Media Group Jana 31 March 2016…Nimeamua Hivi Kwa HIARI Yangu Mwenyewe Bila SHINIKIZO Wala RABSHA Na Mwajiri Wangu Huyo Wa ZAMANI..Napenda Nikujulishe Tu Kuwa Nitaendelea Na Kazi Hii Hii Ya Utangazaji Ila Sasa Nitakua Na Kituo Kingine Na SI Clouds TENA…Wapi Na Lini Ni Suala La TIME…Jiandae Kuendelea Kufurahia ASUBUHI YAKO KATIKA FREQUENCY MPYA SOON. ..Haya Ni Masuala Ya FURSA…IKIJA UNAIKAMATA FASTA…Stay Cool…Stay Tuned
0a466dfae9c1b90383e7a0f485a00bc9.jpg
"FREQUENCY MPYA SOON"...NAHISI ITAKUWA AZAM KATIKA REDIO YAO "U FM"
 
Hivi mmekaa kusikiliza radio tu kutwa nzima?
 
Back
Top Bottom