Bado tu unakasumba hiyo?wenzenu Rwanda hawafundishi tena kifaransa kwenye shule za serikaliIla nawashauri watangazaji wa redio na Tv jitahidi sana kujifunza english maana nakumbuka sana Geradi kilimpa shida sana wakati akihojiana na baadhi ya wageni pale Clouds
Ila kujifunza lugha mbalimbali ni juhudi binafsi .inatakiwa kila mtu kufanya hivyo .hususan wanahabari maana wao wanakutana na watu tofauti inashangaza mtu anajua kiswahili tu labda na kilugha cha kwao.Bado tu unakasumba hiyo?wenzenu Rwanda hawafundishi tena kifaransa kwenye shule za serikali
Wanajua wenywe labda fredwa ila akisomaga fredwa yaan anakuwa km mwanafunzi wa darasa la 4 anaesoma hadithi boring
Kwaiyo na wao wamemfanyizia au? Usilo lijua ni kama usiku wa GizaWhat goes around comes around huyu kipindi kile aliwasnitch Fina na Masudi wakatemwa
Acha kukariri kwa kudhani watu wote wanabeba zege ( kiasi cha kudhani kuwa hawana muda wa kusikiliza redio/tv ) wengine wako dukani, mafundi,madereva n.kHivi mmekaa kusikiliza radio tu kutwa nzima?
Acha kukariri kwa kudhani watu wote wanabeba zege ( kiasi cha kudhani kuwa hawana muda wa kusikiliza redio/tv ) wengine wako dukani, mafundi,madereva n.k
Asante kwa kuelewa.Okay.