Tamko Rasmi la Gerrad Hando

Tamko Rasmi la Gerrad Hando

Ila nawashauri watangazaji wa redio na Tv jitahidi sana kujifunza english maana nakumbuka sana Geradi kilimpa shida sana wakati akihojiana na baadhi ya wageni pale Clouds
Bado tu unakasumba hiyo?wenzenu Rwanda hawafundishi tena kifaransa kwenye shule za serikali
 
Bado tu unakasumba hiyo?wenzenu Rwanda hawafundishi tena kifaransa kwenye shule za serikali
Ila kujifunza lugha mbalimbali ni juhudi binafsi .inatakiwa kila mtu kufanya hivyo .hususan wanahabari maana wao wanakutana na watu tofauti inashangaza mtu anajua kiswahili tu labda na kilugha cha kwao.
 
Hivi mmekaa kusikiliza radio tu kutwa nzima?
Acha kukariri kwa kudhani watu wote wanabeba zege ( kiasi cha kudhani kuwa hawana muda wa kusikiliza redio/tv ) wengine wako dukani, mafundi,madereva n.k
 
Acha kukariri kwa kudhani watu wote wanabeba zege ( kiasi cha kudhani kuwa hawana muda wa kusikiliza redio/tv ) wengine wako dukani, mafundi,madereva n.k

Okay.
 
Back
Top Bottom