Tamko: Sitaki shobo

Nashukuru kwa kunipunguzia jam ndo maana nakupendaga sema tu wewe unampenda dada ako zaidi...

Kuanzia sasa nasaliti kambi ya dada, natangaza kampeni za kukupenda wewe daima
 
Hili ni kombora linaloitwa motor,rocket propeler gun(rpg) au balestic mizaile... Hili kuna ntu lina nhusu atiii
 
Ha ha ha naona kwenye movement ya #say no to beer begger nipo mwenyewe
hebu ninunulie kwanza bia ili tuongee lugha moja

Hahahaha kwenda Bar na wewe ni msala, tusije tukashikana mashati bure.. Nitakurushia kwenye M-Pesa ukapate bia 2,3 hapo bar ya jirani haha
 
Kuna post za mwanzo kabisa pale kuna mtu umemuignore kabisa.. Na mtu huyo najua ndio tabia yake kubwa hahahaha

teh teh teh.....kwani siku hizi naonana na watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…