Tamko: Sitaki shobo

Tamko: Sitaki shobo

Ooooh!! Thanx for that.

Sasa kumbe ni mpaka nipewe mimi ndio nishukuru na kuomba bia!! Haya jamani nihongeni hizo rep power mie nijipatie kabia.

Eeh ukipewa ndo ukashukuru huko pm na namba unadrop
 
Ooooh!! Thanx for that.

Sasa kumbe ni mpaka nipewe mimi ndio nishukuru na kuomba bia!! Haya jamani nihongeni hizo rep power mie nijipatie kabia.

na unavyopenda kuhongwa!!! haya nishakuhonga njoo PM
 
Hamna kitu ni tamko tu....
kwenye thread mtu alipo comment chini ya jina lake kuna kibahasha cha kusend pm na kinyota
unaclick hicho kinyota kusend rep power
ukipewa rep power zama pm kushukuru na kutoa namba
safari moja huanzisha nyingine
Aaah...rep pawaaa umenikumbusha ngoja niende pm nikashukuru...mi sina shukrani ujue khaaa tabia mbaya hii
 
Kumbe humu ndani kuna watu wanafaidi matunda kwa kuhonga Rep? sikuwa najua ngoja nianze kusumbua watu nipate number
 
Kumbe kuomba bia mume ya mutu ndio shobo, mi hata nilikua sijui
 
Back
Top Bottom