Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,786
Mwaweza kuhusika kwa namna moja au nyingine
kama wako nae kaomba bia itabidi namie unipe bia
fifty fifty
hahha wangu hawezi omba bia... yule akikupa rep power juwa kodi ijayo unamlipia yote au unaenda kufanya finishing kwenye nyumba ya kimara lol!!!
Palipo na marasi ni amani
usharudi kwa dada ako?teh
Nimeenda ila "tunda" limeleta kizaazaa
Wafi angu mie....
Karibu bia mpendwa
naomba ela ya bia
mmh!aisee kweli mtu chake!
Teh teh..Ni ofa tu mpendwa wala usijaliNi ofa mpendwa au nkishakunywa ndo nijiandae "kufahamiana"?
mbona baby wako mwenyewe halalamiki? au anapenda?
Teh teh..Ni ofa tu mpendwa wala usijali
Ha ha ha usijiaminishe hivo, hata waomba bia nkikuambia hautawadhani
muwape bia wapenzi wenu jamani tusisumbuane kisa 2500
Sawa.....
hahha itabidi nkutafute unipe hata initial zao tu... kitu cha senior expert member kuomba bia, yanahitajika maombi ya kufunga na kusifu kabisa
Ha ha ha ha ha mmmhBinamu umesikia? uninunuliage bia jamani nisijeenda kuomba kwa bebe wa Eve
Lowasa mabadiliko....Chagua ukawa 25 october.