Tamko: Sitaki shobo

Tamko: Sitaki shobo

Mwaweza kuhusika kwa namna moja au nyingine
kama wako nae kaomba bia itabidi namie unipe bia
fifty fifty

hahha wangu hawezi omba bia... yule akikupa rep power juwa kodi ijayo unamlipia yote au unaenda kufanya finishing kwenye nyumba ya kimara lol!!!
 
hahha wangu hawezi omba bia... yule akikupa rep power juwa kodi ijayo unamlipia yote au unaenda kufanya finishing kwenye nyumba ya kimara lol!!!

Ha ha ha usijiaminishe hivo, hata waomba bia nkikuambia hautawadhani
muwape bia wapenzi wenu jamani tusisumbuane kisa 2500
 
hahha itabidi nkutafute unipe hata initial zao tu... kitu cha senior expert member kuomba bia, yanahitajika maombi ya kufunga na kusifu kabisa

Nitakujulisha na ukiona la mbebs wako nunua kreti panga ndani 2500 isijesababisha akatoa chiu
 
Back
Top Bottom