Tamko: Sitaki shobo

Tamko: Sitaki shobo

sema nawe mbinafsi bibie, kweni siuwaachie tu wapige vimizinga jaman au unataka baby wako aitwe mbahili?
Kila mtu akiomba bia unadhani itakuaje?
atleast wengine waombe mirinda huku namie wakinipa namba za manaume zao namie nijinywee
 
Wenzio wanatafuta fursa...hawajui ulinzi shirikishi umewekwa hadi PM......

Ila aibu duh


Teh too much khaaaa
karibu bia, kila mtu anadrop namba kutaka bia jamani utadhani bebi wangu ni meneja wa breweries
 
Ha ha ha
Jamani unataka bierre tukanywe wapiii!
 
Back
Top Bottom