Tamko: Sitaki shobo

Tamko: Sitaki shobo

Ukiomba sigara kali hauna madhara kabisa
wajitia hujui id yake wakati jina lako lipo kwenye diary yangu ulitembelea profile yake
jiandae, ntakuhoji kwenye press conference nnayoiandaa ha ha ha

Haaa! Wwka screenshot hapa mode kakuruhusu.
Mwee nisingizie vyotee ila si kukagua profile za watu...nimekuruka kimanga!
 
Binadamu tunatofautiana mamii.
Wengine mishipa ya aibu na woga ishakata kitaaambo......anajilipua tu

Atakayeingia 18 zake huyo huyo...

Ila risky sana...maana hujui utakutana na maswaibu gani



Mi najiulizaga mtu anaekaa anatoa toa namba kwa wanaume wa mtandaoni hana mwanaume?
haogopi? Unatoaje namba kwa mtu usiemjua, yani kirahisii naomba namba na unatoa
i am so wonders
 
Binadamu tunatofautiana mamii.
Wengine mishipa ya aibu na woga ishakata kitaaambo......anajilipua tu

Atakayeingia 18 zake huyo huyo...

Ila risky sana...maana hujui utakutana na maswaibu gani

Wanajiweza.....
 
Kichwa cha habari chajieleza......
kuhongwa rep power sio tiketi ya kuombea na bia, kama mna kiu na bia mtafute hela zenu, muombe kwa wazazi au wame zenu. Mambo ya kuomba hela ya bia kwa shemeji yenu sitaki tena mkome alaaah mie mwenyewe hizo bia nna kiu nazo msijitie kuhoji kwanini sijaongea nae jibu ni kwasababu nimeona mafuriko ya kuomba omba yamezidi nimeamua kusema kama vipi namie mnipe namba na wanaume zenu wanipe hizo hela za bia kubafu
sitaki mazoea kwa baby wangu sitaki sitaki....mfowadiane pm kwa anaehitaji kumjua

nb: tamko halina mjadala
Teh Teh Mwl vipi umekatwa kama Lowasa? basi unda tume! Pole Mwl..
 
Evelyn Salt naomba nirushie namba kama nne ili nimpunguzie majukumu bebi wako!

Bia zenyewe si hizi za TBL? Isije ikawa ni bia zingine!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom